Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Je, imetokeaje mpira umetoka nje kisha ukarudi ndani na beki akaushika inakuwa penalty? Hakuna faida yoyote kuibeba yanga kwenye mechi ya kirafiki
2 Reactions
19 Replies
2K Views
mbona yanga inakiuka kanuni ligi na mko kimya Na nyie vodacom na gsm mmekosa wekedi mpaka kukubali nembo zenu kuharibiwa Sent from my SM-G530T using JamiiForums mobile app
2 Reactions
19 Replies
4K Views
Habari wana Jamiiforums Baada ya kuifunga Mbeya city, leo mabingwa wa kihistoria wa Tanzania tunaenda kucheza na Kagera sugar katika uwanja wa kaitaba mkaoni Kagera. Nawakaribisha mashabiki wa...
2 Reactions
45 Replies
8K Views
Nahodha wa klabu ya Aston Villa ya nchini Uingereza Jack Grealish amesaini mkataba mpya wa miaka mitano na klabu yake ya Aston Villa utakaomfanya asalie klabuni hapo Hadi mwaka 2025. Jack Amekuwa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau karibuni tujaribu kuchambua uzuri na udhaifu wa marefa wa VPL na wale wa EPL. Kwa vile hapa nchini kumekuwa na malalamiko kuwa kuna watu wanabebwa. Pia huko EPL kumekuwa na malalamiko juu ya...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tumekuwa tukishuhudia michezo mbalimbali ikifanyika kwenye sub standard sports arena katika nchi yetu. Na hii inatokana na labda kutokuwa na financial resources au ni utashi tu wa wahusika wetu...
2 Reactions
0 Replies
955 Views
Salaam Wananchi, Kwa Masikitiko makubwa Mimi nikiwa Yanga kindakindaki sikubaliani na hili, Yani Simba watengenezewe Jezi halafu sisi tutengenezewe Vijora? Kwa Vijora hivi sisi hatukubaliani...
6 Reactions
35 Replies
5K Views
Sina shaka na uwezo wa kocha na wachezaji wa club hii kongwe ya pale mjini Madrid. Kwa miaka mingi Elcholo alijaribu kutengeneza kikosi cha kupambana na Barcelona na Real Madrid bila mafanikio...
5 Reactions
7 Replies
1K Views
Mnaosema hakuna kama Gaucho mnatumia kigezo gani? Mmefika mbali mpaka kumlinganisha Gaucho na Messi/Ronaldo Hivi Gaucho ukitoa control ya mpira iliopitiliza (hata mimi namkubali kwa hili) ana...
5 Reactions
180 Replies
18K Views
Simba Sports club Limited imeingia mkataba na Equity Bank Tanzania katika kupata Card mpya za wanachama wake ambao katika Kampuni wanahodhi 51% ya umiliki. CEO Wote wawili wa Simba na Equity...
6 Reactions
8 Replies
6K Views
TANZANIA [emoji1241] - Bodi ya ligi Tanzania (TPLB) imebadilisha kanuni kuhusu kufuzu michuano ya kimataifa Shirikisho CAF. - Awali ilikuwa iwapo bingwa wa ligi kuu akitwaa pia ubingwa wa (FA)...
1 Reactions
48 Replies
5K Views
Kwa akili ya kawaida sana katika hali tuliyo nayo ya kiangazi na joto kali. Unalazimisha vipi timu zicheze saa 8 kamili mchana wakati wa jua kali, na wakati huo huo kuna timu zinakaa siku 6-8...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Timu zote wakipata sare na Simba,ikiwa ni pamoja na utopolo,huwa wanashangilia sana. Hii ni dalili ya kuonesha ukubwa wa Simba.Hawawezi kuja hapa na kuisifu ila mioyoni mwao Simba ni kubwa kuliko...
7 Reactions
19 Replies
2K Views
Kama uliamua kushabikia Chelsea,ni bora ubadili maamuzi mapema kwani ni moja ya timu za kishenzi sana na hawajali sana maslahi ya washabiki. Nina sema hivi kwa kuwa wamekuwa wakiuza wachezaji...
2 Reactions
29 Replies
4K Views
Ninaona wafuasi wake wengi ni pamoja na hao waliokerwa na kitendo cha Mo kumpa shavu Rais Magufuli pale uwanjani. Hii chuki ya Kigwa iko juu kiasi kwamba baadhi ya watu tumeanza kuhisi huyu jamaa...
3 Reactions
22 Replies
3K Views
Nimekuwa najiuliza hili swali muda mrefu inakuaje hizi timu ndogo zichezeshwe mchana wa jua kali na hawa jamaa (Simba na Yanga) wasicheze? Je, ipo kwenye kanuni au ni utashi tu wa viongozi?
3 Reactions
23 Replies
4K Views
Bila ya shaka kila mtu anaufahamu uwezo wa hawa Beki nguli Nadir Haroub cannavaro aliyehudumu timu ya taifa kwa muda mrefu na klabu ya yanga pamoja na Beki machachali Kelvin Yondani Vidic...
1 Reactions
63 Replies
15K Views
Jana tumeshuhudia Gemu ya Yanga na Mbeya city ahaa kabla ya kuendelea nina jezi za Yanga Ndani najua ushaelewa namaanisha nini. Dakika 90 zote zilikua za jasho damu na machozi hasa kwa upande wa...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Salaaam Wananchi Wenzangu, Kwa masikitiko makubwa timu yangu Pendwa ya Wananchi Dar Young Africans imesajili wachezaji wapya lakini jezi wanazovalishwa ni za Zamani. Kwa nini Eng. Hersi Saidi...
4 Reactions
19 Replies
3K Views
Back
Top Bottom