Naanza na Salamu ya Daima Mbele Nyuma Mwiko.
Mimi nikiwa Mwanachama na Mfuasi wa Timu ya Wananchi Kindakindaki kwakweli Mpira walioucheza Simba SC Jana dhidi ya Biashra United umetushituwa sana...
Wiki mbili zilizopita hapa hapa Uwanja wangu wa 'Kujidai' katika huu Mtandao wangu pendwa kabisa wa JamiiForums nilikuja na 'Uchambuzi' wangu wa Kuwahusu Wachezaji Wawili wa Wapinzani wangu (wetu)...
Anaandika @exaud_msaka_habari
Leo nimewaza Jinsi swala la @bm3gh linavyopotea kirahisi nikajisemea hapana ngoja niwe kila mwezi nakumbusha mara moja mpaka tumpate mchawi.
Yani naona kama Movie...
Jana nimeenda kwa jamaa yangu kumtembelea baada ya kutoanana nae kwa muda kidogo.
Wakati nipo hapo nyumbani kwake tukawa tunatazama Tv mechi ya Simba na Biashara.
Katikati ya mechi mwenyeji...
To the Glazer family,
I still remember my introduction to Manchester United. For Christmas, I got a PlayStation Portable with the FIFA 06 game. The default team to play as was Man United, and...
Tatizo la wapenzi na mashabiki wa Simba kutoweza kuingia uwanjani kutokana na malfunction ya mfumo mpya wa ulipiaji wa tickets kwenye uwanja huo limejirudia tena leo na kuwafanya mashabiki wengi...
Baada ya Azam media kuonyesha mechi chache za ligu kuu bara msimu uliopita ambapo Azam wana haki ya kuonyesha mechi hizo. Wadau wa michezo wakawataka TFF kuwabana Azam ili watimize vigezo vya...
Mihimili mikuu ya karate ni: Kihon,Kata na Kumite.
Ujumbe:
Karateka usiogope kutojua kwako kata nyingi jidhatiti kwnye Kihon na Kumite utasimama kama Bruce Lee.
Leo saa 18:30 kuna mechi ya Chelsea na Liverpool halafu saa moja mechi ya Simba na biashara.
Nina hamu kuona Simba anafanyaje leo lakini itabidi tu nilazimike kuangalia mechi ya Liverpool.
Huu...
Hatimaye Timu ya Yanga imegusa nafasi ya Kuongoza msimamo wa ligi ya VPL, jambo hili halijawahi kutokea kwa timu ya Yanga takribani miaka Miwili nyuma.
Pongezi kwa Timu ya Yanga japo lolote...
Baada ya kuvinjari kileleni Kwa masaa kadhaa kwenye ligi Ya VPL hatimaye Yanga yaporomoka tena mpaka nafasi ya 4, hii ni baada ya S.S.C kushinda 4G, hata hivyo pongezi kwake kocha mpya Zlatko...
Nimeangalia mpira wa Kagera Sugar mechi mbili za mwanzo kwakweli wana uwezo wa hali ya juu, wachezaji wana morali ya mchezo, wanacheza kwa nidhamu ya hali ya juu na wanaonekana kabisa wapo ground...
Naangalia hapa mechi kati ya RB Leipzig na Mainz, lakini lugha inayotumika ni kiswahili, ukibadilisha ili kupata lugha ya mabeberu inakuja lugha nyingine.
Namuona hapa Yousuph Poulsen mwenye asili...
Hakika nisiwe mnafiki mimi kama mwanachama na mshabiki kindakindaki wa timu ya Wananchi au kwa jina lingine mabingwa wa kihistoria hadi dakika hii sijaona cha maana walichofanya timu yangu...
kwangu mimi naona huku ni kuchemka kabisa kama EPL imeshindikana ni bora tungebaki Spain, na la liga yetu, ambapo walau kuna mabingwa wawili, Barcelona na Real Madrid, kuliko huku ambapo unaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.