Samatta awasili Uturuki, mazungumzo na klabu ya Fenerbahce yanaendelea

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mtangazaji wa Kituo Cha Habari Cha (BBC) Swahili, Salim Kikeke, mshambuliaji wa Aston Villa, Mbwana Samatta yupo nchini Uturuki kwa ajili ya kukamilisha usajili wake wa kujiunga na klabu ya Fenerbahce.

"NImechati na Captain Diego amethibitisha yuko Uturuki na majadiliano yanafanyika lakni bado hajasaini"- ameandika Salim Kikeke

1600962959413.png


=====

The Tanzania international is close to finalising a temporary move with the Yellow Canaries

Aston Villa striker Mbwana Samatta has landed in the city of Istanbul to seal a loan move to Turkish Super Lig giants Fenerbahce, Goal can confirm.

The 27-year-old Tanzanian star joined the Villans from Genk in January and scored two goals while making 16 appearances as Dean Smith’s men avoided relegation on the final day of the season.

Samatta’s future at Villa Park for this season has however not been certain and he is yet to feature in any game so far, only being an unused substitute in Villa’s 3-1 win at Burton Albion in the second round of the EFL Cup last week.

Fenerbahce had been on his tail with rumours circulating that newly-promoted Premier League club West Bromwich Albion were looking to hijack a potential deal from the Yellow Canaries. Goal, however, understands it is a one-year loan deal with the option to buy at the end of the season.

He is expected to undergo a medical and sign all the necessary papers on Thursday.

Samatta’s father Mzee, had earlier stated his son was not interested in leaving Aston Villa.

“I have talked to my son [Mbwana] Samatta and he has told me it is not true Aston Villa have asked him to leave or they want to part ways with him,” he told Azam TV.

“My son told me, all those reports are lies, he is not going anywhere, 'I am at Aston Villa unless things change later, but for now I want you as my dad to know that, I am still an Aston Villa player'.”

Samatta Jnr. is however pleased to have had the chance to play in the Premier League, something he hopes to see other Tanzanians do in future.

"When I was starting my professional career, the ultimate goal I set myself was to play in England,” he told Fifa website.

“But more than a goal achieved, coming here was, above all, the realisation of a dream. It’s a dream that a great many Tanzanian players pursue but one that had never been achieved before. I realise therefore how fortunate I am.

"It’s a source of great personal pride, but I hope it can serve to help others. If I can succeed, then other Tanzanians can too. And if I can help them believe in themselves, so much the better!”

Samatta: Aston Villa striker arrives in Istanbul to complete Fenerbahce loan move | Goal.com
 
Itakuwa good move kwake, wengi wataona ni kama downgrade ila kukaa bench Aston Villa kutaua kipaji chake. Samatta mpira umekataa tu hapo Villa Park. Dakika uwanjani ni kitu muhimu sana kwa wachezaji na mpaka sasa kapoteza confidence.

Good luck to him, dili litiki aendelee kukinukisha.
 
Mpira wa waingereza majungu mengi. Wao wanataka magoli tu hawaangalii kiwango.
Hapa tunajaribu kuukataa ukweli kwa kuwalaumu wengine, sijawahi kutetereka kwenye hili, Samata kwa EPL alikosea sana, nilikumbusha wachezaji kama Crespo, Forlan, Bellion n.k, ilishindikana ingawa uwezo ulikuwepo. Ama pattern ya mwalimu au toughness ya ligi, moja wapo ni kikwazo.

Samata, ni mchezaji mvivu uwanjani, stamina hakuwa nayo, kwa mechi nilizobahatika kuangalia akicheza, alifunga kwa kichwa na kudondoka dondoka sana, muda mwingi akizurula na kupoteza mpira.

Yahaya Toure, Essien, Eboue, Drogba, Adebayor, Diouf, hawa walikuwa serious. Pia kuna wakina Maliga na Wanyama ambao angalau walionesha ukakamavu.

Miaka 27 sasa, ana muda gani tangu aanze hii career yake na alianza akiwa na umri gani? Itakuja kumgharimu kama anadanganya sana.
 
Hapa tunajaribu kuukataa ukweli kwa kuwalaumu wengine, sijawahi kutetereka kwenye hili, Samata kwa EPL alikosea sana, nilikumbusha wachezaji kama Crespo, Forlan, Bellion n.k, ilishindikana ingawa uwezo ulikuwepo. Ama pattern ya mwalimu au toughness ya ligi, moja wapo ni kikwazo.

Samata, ni mchezaji mvivu uwanjani, stamina hakuwa nayo, kwa mechi nilizobahatika kuangalia akicheza, alifunga kwa kichwa na kudondoka dondoka sana, muda mwingi akizurula na kupoteza mpira.

Yahaya Toure, Essien, Eboue, Drogba, Adebayor, Diouf, hawa walikuwa serious....pia kuna wakina Maliga na Wanyama ambao angalau walionesha ukakamavu.

Miaka 27 sasa, ana muda gani tangu aanze hii career yake na alianza akiwa na umri gani? Itakuja kumgharimu kama anadanganya sana.
Asilimia kubwa uliyoandika nshawah kumwambia mdau fln lkn akaniona nna roho mbaya, ifike wakat ukwel usemwe ht kama n mbaya, binafsi sijawah kumkubal samata ht kdg.
 
Sitaki kuamini kuwa samatta pamoja na kucheza kote huko mpira Bado tu ana miaka 27
Kati ya 30 au 33 sababu kuna vijana wanamfahamu na wapo above 30 lakini ndio upambanaji wenyewe.

Kwenye utafutaji hata akisema 20 sawa tu, kumbuka kwenye kufanikiwa kuna mbinu nyingi sana so achana na vitu vidogo kama ivyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom