Thierry Henry amemtaja Kylian Mbappé wa Real Madrid kuwa Ananafasi Kubwa kushinda Tuzo ya Ballon d’Or 2026.
Akimzungumzia kwenye UCL Today (CBS Sports Golazo), alisema Messi angeshinda tuzo hiyo...
Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) kati ya Manchester City na FC Porto umeisha kwa sintofahamu, baada ya mshambuliaji hatari wa Man City, Erling Haaland, kujikuta katikati ya...
Kocha Mkuu wa Yanga SC, Manqoba Mngqithi, amewataka washambuliaji na mabeki wake kuingia uwanjani wakiwa na umakini wa kiwango cha juu, akisisitiza kuwa ufanisi wa kufunga na uimara wa safu ya...
Kiungo mchezaji , Clatous Chama, ameibua gumzo kubwa kwenye ulimwengu wa soka nchini baada ya kutishia kuweka wazi ushahidi wa mazungumzo ya faragha (chat) kati yake na Rais wa Klabu ya Yanga...
Klabu ya TRA United imetangaza kusitisha mkataba na Kocha Mkuu, Etienne Ndayiragije, kwa makubaliano ya pande zote mbili.
Uamuzi huo umefikiwa baada ya timu hiyo kuanza vibaya msimu wa 2026/2027...
https://www.instagram.com/reel/DdBxoJsNrnj/?stkn=MTZuZ2Z3aWIzYmduMg==
Kuna maneno wanamsema msemaji wetu kuwa ni HASARA. Je kuna ukweli? Maana watu wa karibu yake pia huzungumza.
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) likishirikiana na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) limeagiza kusitishwa mara moja kwa mchakato wa uchaguzi mkuu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu...
Bingwa wa Olimpiki wa mbio za kuruka mbali, Tara Davis amelazimika kusitisha msimu wake wa riadha wa mwaka 2026 kufuatia kupata mshtuko mkali wa ubongo uliosababishwa na ajali ya gari.
Uamuzi huo...
Mshambuliaji wa Liverpool, Federico Chiesa, mwenye umri wa miaka 26, huenda akaondoka klabuni hapo Januari iwapo atakosa muda wa kutosha wa kucheza baada ya kurejea kutoka kwenye majeraha.
Winga...
Jarida maarufu la France Football linakwenda kutangaza rasmi orodha ya wachezaji 30 wanaowania tuzo ya Ballon d'Or ya mwaka 2026. Mwaka huu unatajwa kuwa wa kipekee zaidi kihistoria, kwani Kombe...
Mwamuzi wa kimataifa Michael Oliver ameteuliwa rasmi kuwa mwamuzi wa kati (Pilato) kwenye mtanange mkali wa Manchester Derby kati ya Manchester United na Manchester City.
Pambano hilo la kwanza...
Klabu ya Yanga imezindua jezi mpya itakazotumia katika msimu wa 2026/27, huku uzinduzi huo ukipewa uzito wa kipekee baada ya kufanywa na mwandishi maarufu wa habari za usajili duniani, Fabrizio...