Jannatul Firdaus
JF-Expert Member
- Aug 4, 2026
- 446
- 1,112
Mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA Champions League) kati ya Manchester City na FC Porto umeisha kwa sintofahamu, baada ya mshambuliaji hatari wa Man City, Erling Haaland, kujikuta katikati ya vurugu kali na kiungo wa Porto, Pablo Rosario. Mtanange huo uliopigwa Jumanne, Septemba 8, 2026, kwenye Uwanja wa Estádio do Dragão, uliisha kwa Man City kuibuka na ushindi wa mabao 2-0.
Vurugu hizo zilitokea katika dakika za nyongeza za mchezo (injury time), sekunde chache tu baada ya Haaland kupachika bao lake la pili la ushindi lililozamisha jahazi la wenyeji Porto.
Vurugu hizo zilitokea katika dakika za nyongeza za mchezo (injury time), sekunde chache tu baada ya Haaland kupachika bao lake la pili la ushindi lililozamisha jahazi la wenyeji Porto.