Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ndugu zangu wapenzi wa michezo katika jukwaa hili;mimi nishabiki wa dar es salaam young african tanzania dammm Lakni kuelekea game ya leo kati ya watani zetu mikia fc au mo fc ni vema nikatoa...
2 Reactions
73 Replies
4K Views
Nyota wa Kikapu nchini Marekani LeBron James amesaini mkataba mpya wa miaka miwili na Los Angeles Lakers, mkataba wenye thamani ya ($85 million) ambao utamuweka kwenye timu hiyo hadi msimu wa...
11 Reactions
78 Replies
6K Views
Wapenzi wa ndondi, leo ni siku nyingine dunia inashuhudia pambano jingine kali la kufungia mwaka kati ya hawa mafundi wawili wa uzito wa 'welterweight'; Errol Spence ambaye ni bingwa, na Danny...
1 Reactions
6 Replies
838 Views
Kwanza niwaze hongera sana Simba kwa kufikia hatua ya pili ya mitano, baada ya kuwatoa Nigeria, sasa mnaenda kukutana na timu ngumu, msibweteke. Naomba mkajitahidi angalau muwafunge kwao hao...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Kupitia runinga ya ITV wameonekana mashabiki wa Yanga wakiwapokea timu pinzani na Simba kutoka Nigeria katika uwanja wa ndege wa Julius Nyerere. Nauliza tu kwenu wanasiasa kitendo hiki...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Mabingwa wa Nchi Simba SC, Mnyama Mkali Kuliko Wote Mwituni Jumamosi ya leo Disemba 5, 2020 watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa kupapatuana na Plateau United, kutoka nchini Nigeria kwenye mchezo wa...
20 Reactions
183 Replies
19K Views
Yanga jana wamewapokea plateau kwa mbwembe nyingi.Naomba kesho wawasindikize kwa shangwe zaidi airport.
2 Reactions
9 Replies
793 Views
Nimapenzi makubwa sanaa yalipo kwenye mioyo na mashabiki wakereketwa wa club yetu ya wananchi kutoka nigeria...hakika meza itapinduliwa kibabe sanaa jumamosi Daima mbele nyuma mwikoo
5 Reactions
41 Replies
6K Views
Nyie Simba shukuruni mtacheza na Platinum ya Zimbabwe. Kuna Platinum ingine Africa ya Kusini kwa mzee Madiba mngepangiwa huko huyu dogo msingerudi nae, angebaki huko huko. Hela yangu ya kiingilio...
9 Reactions
26 Replies
4K Views
Kama kuna wajinga nchi hii ni utopolo ,hizi mechi za kimataifa tumewabeba ,kuna video kwenye mitandao wameenda kuwapokea planteau airport huku wakiimba Planteu! Planteu! Simba underdog...
8 Reactions
82 Replies
8K Views
Simba mnatia huruma sana. Mnataka tuwape baraka, tuwashangilie then mkishinda muanze kututukana na kutuita majina ya ajabu! Jana tumewapokea kwa kishindo Plateau na leo tutakwenda uwanjani...
1 Reactions
12 Replies
986 Views
Habari! Kwa maelezo ya huyo msemaji na mbwambwajaji wa watani zetu ukiyafanyia kazi kama yalivyosema unaona kabisa pale wana mropokaji kiwango cha lami. Mara watani wanajikuta wapo wenyewe si...
4 Reactions
30 Replies
3K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemhakikishia Pierre Gumbo(Liquid) kuwa kuna tiketi yake kwa ajili ya kuambatana na Taifa Stars kuelekea Misri. Waziri Mkuu ameyasema hayo alipozungumza na Pierre...
20 Reactions
104 Replies
14K Views
Natumaini wote mu wazima, Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku...
27 Reactions
281 Replies
37K Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu limesema Shabiki yeyote anaruhusiwa kuingia kwenye mechi ya mpira, ikiwa havunji taratibu za mchezo huo TFF imekemea kauli zinazolenga kuzuia haki ya mashabiki...
5 Reactions
92 Replies
6K Views
Leo Dimbani Ni Simba VS Plateus United Hapa tupeane matokeo pamoja na matukio yanayo jili Katika uwanja wa Benjamin Mkapa Stadium Ni Uwanja wako sasa kutoa updaUpd Zote.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Klabu ya Simba imesema kauli ya kubagua mshabiki katika mechi kati ya Simba na Plateau United haikutolewa kwa maelekezo ya Klabu ya Simba Desemba 2, Msema wa Klabu ya Simba, Haji Mnara alitoa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hawa wote wamesajiliwa majira haya ya kiangazi, Pepe akitoka Lille kwenda Arsenal kwa usajili wa rekodi ya klabu. Wakati James akitoka Swansea kwenda Man Utd. Ukiambiwa chagua mmoja kati yao...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom