Ushauri wa bure kwa mikia kueleka game yao na plateau

Magema Jr

JF-Expert Member
Apr 22, 2020
1,299
1,201
Ndugu zangu wapenzi wa michezo katika jukwaa hili;mimi nishabiki wa dar es salaam young african tanzania dammm
Lakni kuelekea game ya leo kati ya watani zetu mikia fc au mo fc ni vema nikatoa ushauri wangu kama mtanzania mpenda soka, bongo kwani mikia ni club ya hapa hapa.
Mashabiki wa timu hii (najua wengi watapita hapa) naombeni mdumishe amani , msifuate yale maneno ya mtu wenu "manara dishi" eti game ni ya kwenu tu!!
Mikia hamna amri ya kutupangia game ya kuangalia ukiwa pesa tunazo bwashee
Pili ukifika uwanjani au ukumbini tafadhali kaa kimya usijulikane, tafadhali ficheni madekio yenu (jersey) kwani meza ikipinduliwa hamtakuwa na amani wallah😅😅
Game ikiisha na mkiwa mmeshinda (japo najua hamponi) rudini mkatulie na familia zenu
Mwisho ni watakie game tamu yenye amsha amsha za kisitaarabu🤗

Prediction: mikia 2 plateau 3... agrigate 3-3
Aliyepigwa mengi kwake;mikia,so ahsante kwa kushiriki 😂

#jr (shabiki kindakindaki wa young african , barca,man city,BvB,psg , kumamoto fc ya japan, na shanghai evergrade ya china)
 
cc: gentamycine,okw boban sunzu, na genge lao huko mikiani camp😂😂😂
 
Ndugu zangu wapenzi wa michezo katika jukwaa hili;mimi nishabiki wa dar es salaam young african tanzania dammm
Lakni kuelekea game ya leo kati ya watani zetu mikia fc au mo fc ni vema nikatoa ushauri wangu kama mtanzania mpenda soka, bongo kwani mikia ni club ya hapa hapa.
Mashabiki wa timu hii (najua wengi watapita hapa) naombeni mdumishe amani , msifuate yale maneno ya mtu wenu "manara dishi" eti game ni ya kwenu tu!!
Mikia hamna amri ya kutupangia game ya kuangalia ukiwa pesa tunazo bwashee
Pili ukifika uwanjani au ukumbini tafadhali kaa kimya usijulikane, tafadhali ficheni madekio yenu (jersey) kwani meza ikipinduliwa hamtakuwa na amani wallah
Game ikiisha na mkiwa mmeshinda (japo najua hamponi) rudini mkatulie na familia zenu
Mwisho ni watakie game tamu yenye amsha amsha za kisitaarabu

Prediction: mikia 2 plateau 3... agrigate 3-3
Aliyepigwa mengi kwake;mikia,so ahsante kwa kushiriki

#jr (shabiki kindakindaki wa young african , barca,man city,BvB,psg , kumamoto fc ya japan, na shanghai evergrade ya china)
Tatizo utopolo fc ni wasahaulifu sana, utopolo fc hawataki mashabiki wa Simba kwenye mechi zao na hata wanadiriki kufanya uhuni uliopitiliza wa kupiga watu Leo mnaambiwa shughuli hii haiwahusu ni ya kikubwa nnalilia! Jaman
 
mikia subirini mbanduliwe goli mvua ndo tutaelewana
 
Back
Top Bottom