Video: Lebron James atoa machozi baada ya ushindi

Jamaa ana bidii Sana na anajituma kupita maelezo. Japo nilitamani Sana State Warriors wachukue lakini pongezi ziende kwao
 
Kipindi hicho nilikuwa Cleveland jamaa anapohamia ndipo natiaga kambi sinaga team NBA huwa nina mchezaji pendwa
 
Back
Top Bottom