Pepe Vs Daniel James nani zaidi?

Greatest Of All Time

JF-Expert Member
Jan 1, 2017
21,145
46,190
Hawa wote wamesajiliwa majira haya ya kiangazi, Pepe akitoka Lille kwenda Arsenal kwa usajili wa rekodi ya klabu. Wakati James akitoka Swansea kwenda Man Utd.

Ukiambiwa chagua mmoja kati yao, wewe utamchagua yupi na kwanini?
 
Huyu Pepe ni hatari kwenye beach soccer namfahamu toka zamani sana akiwa accadem du Maputo na James ni hatari kwenye mpira wa magongo anatisha sana na team yake ya Canadian Magic ,tafuta wanaocheza mchezo unaofanana tuwalinganishe ,Kama Hamiliton na King James wa Lakers
 
Pepe ni mchezaji mzuri sema sijui ni wenge au nux za arsenane napenda sna jamaa anavyoutumia mguu wake wa kushoto, kwa mtazamo wangu pia wachezaji wa arsenal ni wazuri kuliko man utd, hivyo James anaweza kua mzuri zaidi kama ot pale yatapatikana majembe ya uhakika, tukienda kiujumla kabisa kabisa naona pepe ni mchezaji mzuri ila tukija ki performance hasa msimu huu kura yangu inamuangukia James
 
Back
Top Bottom