Hili bao video yake mpaka sasa imeshindikana kupatikana. Wengine wanasema waki upload baada ya sekunde tu ile Video inapotea. Ni kama inakuwa deleted.
Hili wameniambia jamaa wawili ambao walikuwa...
Tuliofuatili World Cup 2002 tunamkumbuka huyu Mwamba
Mchezaji wa zamani wa Kimataifa wa Senegal, Papa Bouba Diop amefariki akiwa na umri wa miaka 42 baada ya kuugua kwa muda mrefu.
Diop...
Ligi ya Mabingwa barani Afrika kuendelea kupigwa leo November 29, 2020 ambapo, Klabu ya Plateau United, inawakaribisha Mabingwa nchini Tanzania Simba SC, Mnyama kunako dimba la New Jos nchini...
Mchezaji maarufu wa mchezo wa mieleka- Undertaker amethibitisha rasmi kujiuzulu kutoka WWE baada ya miaka 30.
Aliingia ulingoni kwa mchezo wa mwisho katika mchezo wa mwisho wa Survivor Series...
Hiyo Plateu ni kama imeisha tolewa, mechi inayofuata Simba itacheza na mshindi kati ya AS Sonidep ya huko huko Nigeria na Mogadishu city ya Somalia.
Hiyo AS Sonidep ni timu ngumu kidogo itabidi...
Pamoja na mimi kuwa mshabiki wa team nyingine ila hili wanalofanya Plateau ni soka la Kizamani sana. Fitna na Hujuma havisaidii mpira.
hawa ni kuwatibu kama wydada vs mamelodi waarabu wa morroco...
Simba kama tukitolewa na hao wanaijeria ambao hawajacheza karibia miezi simba mechi za kimashindano mtafute la kutusmbia.
Simba kama tukitolewa na team ambayo kwao hawatakua na mashabiki na sisi...
Kocha aliyefukuzwa ndiye huyohuyo ambae aliiwezesha Azam kuongoza ligi kabla ya mechi na Yanga.
Yanga walifukuza kocha lakini matokeo yamebaki yaleyale ya ushindi mwembamba kila mechi. Mtibwa...
Habari zenu wana jamii forum. Matumaini mko poa.
Wale wazee wa ngumi tofali, wapenzi wa mitulinga mizito kuliko ya mwakinyo na myweather, ebu tutoe tathmini zetu kuhusu kurejea ulingoni kwa mzee...
Sehemu ambayo ni Sports bar naweza angalia mpira wa ligi kama England /
Achana na hizi bar za kawaida ukienda wanaweka mziki unaangalia gemu ya mpira kama vile unaangalia pilau. Sauti zero.
Mi...
Washabiki wa Yanga wameahidi kuisaidia timu ya Plateu kwa hali na mali ili kuhakikisha Simba inafungwa na timu hiyo.
Na wamesema Plateu wakija hapa wao ndio watakuwa wenyeji wao rasmi na watawapa...
Baada ya Mshambuliaji hatari wa Simba MEDIE KAGERE kuwa mfungaji Bora kwa misimu miwili (2) mfululizo.
Hii ndio List ya Washambuliaji ambao wanafanya vizuri :..
1. Prince Dube
2. Adam Adam
3...
Timu ya Yanga leo inashuka dimbani kuwavaa JKT Tanzania,katika mchezo huo Yanga wataingia kwa lengo la kuongeza tofauti ya points 7 dhidi ya watani wao wa jadi Simba ambao kesho wanatarajia...
BONDIA Hassan Mwakinyo amepanda hadi nafasi ya 43 kwenye viwango vya ngumi vya dunia. Bondia huyo namba moja nchini ametajwa kuwa bondia wa nyota tatu duniani ,akihitaji kutafuta nyota nyingine...
Wawakilishi wa Tanzania kwenye michuano ya kombe la Shirikisho barani Afrika, Namungo FC leo Jumamosi ya November 28, 2020 wanawakaribisha Al Rabita FC kutoka Sudan katika mechi ya mkondo wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.