Tufunge Ukurasa: Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano

Mambembe

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
2,215
2,958
Natumaini wote mu wazima,

Mama lao sina maneno mengi ila tuseme tu ukweli Kili Marathon ishapoteza mvuto sio kama zile Kili za zamani tulizokuwa tunazosikiaa kipindi hicho. Kili Marathon ya siku hizi ni makutano ya wasaliti wa ndoa na mahusiano, kila ufuska huwa unafanyika Moshi

Yaani kuna kudanga na kudangwa sio kila mtu anaenda kwa ajili ya Marathon ila wanatumiaa mgongo wa Marathon kwenda Moshi kujivinjari

Hasa Wanaume manake unakuta mtu anaaga nyumbani kuwa anaenda kwa Marathon kumbe kashaandaa kiburudishi pembeni same applied to wadangaji nao washafanya ni chimbo la kupatiaa Wanaume.

Thats why unakutaa siku hizi kilaa mtu anajifanya anapenda Marathon.

Jamani Wanawake wenzangu kuweni macho na haya ma-marathon ya kila siku ambao yameshakuwa kama fashooooni mjini haya mama, marathon 25% ndo wapo kimarathon zaidi but the rest 75% ni kwa ajili ya kwenda kusaka na kusakwa niliyo yaona Moshi yanatoshaa jaman
 
Babal lao nasema hivi.

Sasa si uache wale starehe yao kwani umekopwa dudu yako wee mama lao, waache Kili marathon iambatane na utalii wa ndani na kulana na kuliwa pia. Waache maisha ndio haya magumu acha watu wafanye yao ili mradi hawavunji sheria, ndio kupumua huko, alaa. 😅
 
Nimepita
84061714_618517255673145_8906771167366879493_n.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom