Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Najaribu kujihoji na kutafakali kwa kina sipati majibu Hivi plateau wanajiamini Nini kuja siku moja kabla ya mechi na simba ambayo kuifunga kwa mkapa Hadi ufanye kazi nzito *Wamekata tamaaa *Ni...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
By Polycarp Auta Jos, Dec. 2, 2020 A 45-man contingent of Plateau United FC of Jos has departed for Dar Es Salaam to face Simba SC of Tanzania. This is for the return leg of the first round of...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Ama kweli tenda wema nenda zako, na Fraga alitenda wema kaenda zake, na sasa anahangaika kujitibu yeye na familia yake huku club ya Simba ikiwa imemtelekeza, kwa kweli hii ndio tabia ya Wahindi...
7 Reactions
47 Replies
6K Views
Ikumbukwe baada ya Hans Pop kuwashutumu baadhi ya wachezaji kucheza chini ya kiwango Mo alisema hakuna kiongozi yeyote atakae ruhusiwa kuingelea Simba bila kupata ruhusa yake. Je, yaliomo yamo,na...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Klabu ya Arsenal imeruhusu mashabiki 2,000 katika Uwanja wa Emirates kushuhudia mechi yao dhidi ya Rapid Vienna jana. Hii ni mara ya kwanza kwa mashabiki kuruhusiwa katika mechi kubwa tangu Machi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Klabu ya Soka ya Simba imesema haitaruhusu Shabiki wa Klabu ya Yanga kuingia katika mchezo wao wa mkondo wa pili wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Plateau United mchezo utakaopigwa katika dimba...
5 Reactions
76 Replies
10K Views
Kwa Tanzania imekuwa kama utamaduni. Ushirikina umeshika chat sana katika mpira wetu. Mbaya zaidi ni wachezaji wa Team mmoja kufikia hatua nao wanarogana wakigombea namba. Team moja kubwa hapa...
10 Reactions
60 Replies
6K Views
Kuelekea mchezo wa Marudio kati ya simba na plateu ya Nigeria kombe la Klabu bingwa Afrika. 1. Aishi Manula. 2. Shomari Kapombe. 3. Mohamed Hussein. 4. Pascal Wawa. 5. Joash Onyango. 6. Erasto...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Karibu katika Uzi maalumu wa kilabu ya mpira wa miguu ya Ndada toka Mkoani Mtwara. Jina la timu: Ndanda Fc Jina la utani: Ndanda Kuchelee Uwanja: Nangwanda Sijaona Watazamaji:15000 Mkoa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba uongozi wa Simba hii mechi inayokuja watangaze kabisa kabla watu hawajanunua tickets kwamba hakuna kuingia bila jezi ya Simba au nguo nyekundu, itangazwe kwamba hakuna kuingia ukivaa njano...
2 Reactions
40 Replies
4K Views
Tuwapongeze tu vijana wetu kwa kupata nafasi ya kuiwakilisha nchi Kwenye mashindano ya afcon,naona wadau mpo kimia sana mpo na simba na yanga
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Inakuwaje? Shaktar Donetsk inaongoza sasa hivi goli 1 bila dhidi ya Madrid na wabane hivo hivo hadi kipenga cha mwisho halafu baadaye Inter iichape moncheglabad ya Ujerumani itakuwa safi sana...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
CEO wa Simba SC Barbara (Babra) Gonzalez katika Kurasa zake za Mitandao amesema kuwa wamejitahidi vya kutosha tena kwa Kuhangaika huku na kule ile Mechi ya Simba SC na Plateau United unaochezwa...
9 Reactions
82 Replies
9K Views
Imeelezwa kiungo Mapinduzi Balama anatarajiwa kuelekea nchini Afrika Kusini kwa ajili ya matibabu zaidi ya majeraha yake Balama amekuwa nje ya uwanja wa miezi sita sasa akiuguza majeraha...
6 Reactions
12 Replies
2K Views
Hello wanasport!! Anayefahamu tafadhali anipe mtiririko hapa nina hiyo ndoto siku moja. Na inaanzia daraja la ngapi kwa hapa nchini?
2 Reactions
21 Replies
9K Views
Katika kipindi cha Sports Extra jumapili nilimsikia Shaffi Dauda akizungumzia michuano ya CAF CHAMPIONS LEAGUE hatua ya awali. Mechi aliyokua anaizungumzia ni Plateau vs Simba, aliponda sana...
3 Reactions
26 Replies
3K Views
Waendesha mashtaka nchini Argentina wanamchunguza Daktari wa, Diego Maradona(60) kwa uwezekano wa kuua kufuatia kifo cha nyota huyo wa soka kilichotokea Novemba 26,2020. Polisi Mjini Buenos Aires...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Wakati umefika sasa tuwathamini wachezaji wetu wa ndani kama Erasto Nyoni ambaye ni mchezaji wa viwango ambaye amekutana na changamoto kubwa ya kupata nafasi katika club yetu ya Simba ambayo...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnataka wafanye nini tena ndio mchukue hatua kali. Wapeni adhabu ya kutoingia uwanjani msimu mzima. Haiwezekani watu na akili zetu tunaenda kuangalia soka tunakutana na mambo ya kipumbavu toka kwa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Kwanza niwape pole kwa mnayoyapitia tangu mwaka 2016 baada ya kuingia uongozi mpya kwenye Shirikisho la Riadha. Ninafahamu walio wengi hawatafahamu nini kinachoendelea ndani ya Riadha Tanzania...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom