Wakuu Habarini.
Nimeona Na Kushangazwa na Uwanja Wa Lake Tanganyika Kigoma Ambao utatumia katika Fainali za ASFC, Huu sio Uwanja wa Mpira na Pori na Mapagale Ya Uwanja.
Sifikiri wala sioni huu...
Naangalia mchezo wa kirafiki Azam na Coast Union.
Pamoja na burudani hiyo ninashangazwa na ubora wa uwanja, hasa eneo la kuchezea.
Nalinganisha ninachokiona na hali za viwanja kama Mkwakwani...
Nilikuwa naangalia Mechi ya Belgium Vs Croatia.
Mechi imekwisha, Lukaku kavua jezi kumpatia mchezaji wa Croatia huku akimtaka nae ampatie yake!
Yule mchezaji akamwambia Lukaku wamekatazwa...
MABAO ndiyo yanayoleta ushindi kwenye mchezo wa soka. Ukizungumzia ufungaji wa mabao, wachezaji wakubwa wamefanya hivyo wakiwa na jezi namba tisa.
Kiutamaduni, jezi namba tisa ndiyo inayohusika...
" Tumeitoa Yanga SC Uswahilini pale Manzese wakiwa na hali mbaya, Njaa wakila Maharage na Ugali wa Kugombania na Wanang'atwa na Mbu na sasa tumewaweka pale Avic Town Kigamboni wanakula vizuri...
Habari wadau, leo TBC wapo Live kuonyesha game yao dhidi ya Bunge FC. Kwa kweli ndio maana hawaonyeshi mechi za timu ya taifa maana ni aibu, camera zao ni za kiwango cha chini sana. Vigumu...
Hivi kweli huyu dogo wa 95 ambaye hata Wikipedia inamtambua kama You Tuber ndo wa kuweza kumshinda Legendari Mayweather? Kweli duniani inaenda kasi sana.
Ngoja tusubiri japo nimefatilia baadhi ya...
Huyu ni beki wa AS VITA eti kasajiliwa na Yanga.
Shida kuu kwa timu ya yanga sasa hivi ni safu ya ushambuliaji ndiyo ipo butu, anatakiwa kusajiliwa straiker mwenye uwezo wa kupiga miguu yote na...
Haikuwa kipindi chenye furaha sana kwa Karim Benzema, mchezaji wa Real Madrid na raia wa Ufaransa baada ya kukosa kuitumikia timu yake ya taifa kwa miaka 5 kwa tuhuma za kuhusika kumlaghai...
19.05.21
CAS 2020/A/7510 Daniel Kinyua Wanjiru v. World Athletics
CAS 2020/A/7239 Shabab Al Ahli Dubai Club v. Mauro Alberto Díaz & Club Estudiantes de la Plata
CAS 2020/A/7261 Mauro Alberto Díaz...
This is special thread for all football best fans
News and rumors around the earth.
Kwa habari za kambumbu na tetesi za usajili kutoka kote ulimwenguni.Pitia hapa.
MySoka
Ni baada ya uongozi kumjulisha kwamba hautamuongezea mkataba wake unaoisha mwishoni wa msimu huu.
Kahata amewashukuru wanachama, viongozi na mashabiki wa Simba SC kwa kukaa nae kwa upendo muda...
Ni kweli mbinu za Thomas zitawasumbua makocha wengi barani Ulaya au ndo kakutana na ganda la ndizi?
---
Chelsea win the Champions League with a 1-0 victory over Manchester City in Porto Credit...
Yupo Studioni sasa EFM kwenda ' Kuzurula ' na ' Kuwadanganya ' wana Yanga SC na ameulizwa Swali dogo lenye Kuhitaji jibu fupi tu na Mtangazaji Tunu Hassan Shemkome na Majibu yake ( Injinia Hersi...
Viongozi Yanga na Engineer Hersi wamefeli ahadi zao za kuipa ubingwa yanga...lakini GSM haijafeli kwa ahadi zake za kuipatia pesa Yanga...nianze kwa kusema Yanga ni timu iliyo na nguvu kubwa ya...
StarTimes wamesema watakuwa live kwenye michuano ya Euro2020,ambayo itaanza tar 11,june 2021 hadi July 11 2021, je, kifurushi cha nyota, Uhuru au Mambo? anayejua anisaidie.
Wajuzi wa mambo, kuna huyu kocha mkongwe muargentina ninaemkubali sana anafahamika kama Marcelo Bielsa ambae kwasasa anafundisha pale Leeds Utd.
Navutiwa sana na style yake ya soka la pasi nyingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.