Simba SC yapokea pesa kutoka SportPesa

tc_edo

Senior Member
Apr 9, 2021
123
225
SportPesa yaipatia Simba SC hundi ya Shilingi million hamsini (Tsh50000000) za kitanzania kama pongezi kwa kufika hatua ya robo fainali katika michuano ya klabu bingwa Africa msimu wa 2020 /2021.​

IMG_20210527_231257.jpg
 

Pettymagambo

JF-Expert Member
Aug 21, 2017
226
500
Dadeqq zake huyo jamaa hapo kwenye picha likimwona li mo anagongesha mikono na demu wake! Atakoma!
Hiyo nisauti yautopolo
Mmoja aliekata tamaa
Yaubingwa!
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,906
2,000
Wanaweza kuwa sahihi kulingana na muda wa mkataba.

500M ya Mwaka 2022 haiwezi kuwa sawa na 500M Mwaka 2032, haiwezi. Mahitaji katika soka hayawezi kuwa sawa kwa kipindi chote Cha Miaka 10.
Aliyekwambia 2032 watatoa milioni 500 ni nani? Huoni wamesema itakuwa inapanda? Pili unajua vodacom wanampa bingwa sh ngapi kwa sasa?
 

nguvu

JF-Expert Member
Jun 13, 2013
11,906
2,000
Inapanda kwa Tzs ngapi na kwa kila muda gani .....!
Itafika milioni 700, sasahivi unajua voda wanatoa sh ngapi kwa bingwa? Mkataba wa azam unampa hela hadi anaeshuka daraja, pili watu mnaangalia maisha ya kawaida bila kujiuliza azam anapata nini, embu angalia kwasasahivi azam anamatangazo mangapi kwa mechi, wabongo wanaweza kulipia king'amuzi kila mwezi wapo wangapi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom