Mshituko: Arturo Vidal akutwa na CORONA wiki moja baada ya kupata chanjo

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Mchezaji wa Inter Milan ambaye ni beki matata Vidal wiki iliyopita alipata chanjo ya kuzuia kupata ugonjwa wa Corona, lakini cha kushangaza wiki moja baadae amepimwa na kukutwa ameambukizwa virusi vya Corona na sasa amelazwa hospitalini akijiuguza.

My take : Hizi chanjo za kupambana na virusi vya Corona vina ubora kiasi gani?

vidal Arturo.JPG

---
Inter Milan's Chilean midfielder Arturo Vidal is receiving hospital treatment after testing positive for coronavirus, his national team said Monday.

The diagnosis means the 34-year-old will miss Thursday's World Cup qualifier between Chile and Argentina.

"The medical team of the Chilean national team emphasizes that at the request of the player Arturo Vidal, it is announced that he has been diagnosed positive for Covid," the national team said on its official website.

It said no other players in the squad had tested positive for the virus.

Vidal was initially hospitalized with severe tonsilitis, but tested positive for coronavirus on Monday, the team statement said.

The former Barcelona, Bayern Munich and Juventus star, who was vaccinated against the virus on Friday, will now miss the Qatar 2022 World Cup qualifier with Argentina and another qualifier against Bolivia next week in Santiago.

Covid-19 infections in Chile remain above 6,000 daily cases and the health system is overwhelmed.

The virus has killed more than 29,000 people out of a total 1.3 million cases in the country.

Source: Inter Milan's Arturo Vidal in hospital after positive Covid test - France 24
 
Vidal yupi huyo tena? Navyojua Atulo Vidal yupo Inter Milan
 
Mtachanjwa tu, mtake aumsitake, kamati ya mama imeshaamua 🤣🤸🐒
IMG_20210601_164328.jpg
 
Mchezaji wa Juventus ambaye ni beki matata Vidal wiki iliyopita alipata chanjo ya kuzuia kupata ugonjwa wa Corona ,lakini cha kushangaza wiki moja baadae amepimwa na kukutwa ameambukizwa virusi vya Corona na sasa amelazwa hospitalini akijiuguza..

My take : Hizi chanjo za kupambana na virusi vya Corona vina ubora kiasi gani?
Chanjo haiponeshi huyo alishapata maambukizi kabla
 
Mchezaji wa Inter Milan ambaye ni beki matata Vidal wiki iliyopita alipata chanjo ya kuzuia kupata ugonjwa wa Corona, lakini cha kushangaza wiki moja baadae amepimwa na kukutwa ameambukizwa virusi vya Corona na sasa amelazwa hospitalini akijiuguza.

My take : Hizi chanjo za kupambana na virusi vya Corona vina ubora kiasi gani?

---
Inter Milan's Chilean midfielder Arturo Vidal is receiving hospital treatment after testing positive for coronavirus, his national team said Monday.

The diagnosis means the 34-year-old will miss Thursday's World Cup qualifier between Chile and Argentina.

"The medical team of the Chilean national team emphasizes that at the request of the player Arturo Vidal, it is announced that he has been diagnosed positive for Covid," the national team said on its official website.

It said no other players in the squad had tested positive for the virus.

Vidal was initially hospitalized with severe tonsilitis, but tested positive for coronavirus on Monday, the team statement said.

The former Barcelona, Bayern Munich and Juventus star, who was vaccinated against the virus on Friday, will now miss the Qatar 2022 World Cup qualifier with Argentina and another qualifier against Bolivia next week in Santiago.

Covid-19 infections in Chile remain above 6,000 daily cases and the health system is overwhelmed.

The virus has killed more than 29,000 people out of a total 1.3 million cases in the country.

Source: Inter Milan's Arturo Vidal in hospital after positive Covid test - France 24

Habari hii ni njema sana kwa wale wanaopenda kuhubiri nyungu. Huku walisahau kuwa takriban chanjo zote linahitaji jabs 2. Pia si kweli kuwa ukichanjwa hapo hapo inakuwa imechukua udhibiti pale pale achilia mbali kuwa haipo dawa au chanjo ambayo ni 100% effective.

Au nasema uongo ndugu zangu?
 
Kenya wanachanjwa kwa awamu ya tatu
 
Chanjo kapigwa hata wiki haijapita hivyo lazima Covid imesumbue....
Jiulize kwanini yeye tu
 
Back
Top Bottom