Group D Vipi?

Group D Vipi?

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
17,917
Reaction score
24,726
Lilikuwa na timu nne tu, halafu ufaulu wa robo fainali unatokana na michezo miwili ti wakati groups nyingine zilicheza michezo minne minne tane mingi ikiwa ni naili baiting kama ule wa Uganda na RSA lakini hawa wa group D wanapita klirahisi tu; kwa nini?
 
Huwa nawahurumia sana watu wanaolia kwa ajili ya mpira. Poleni
 
Back
Top Bottom