Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Habari, Pep Guardiola ametupilia mbali tuhuma za kocha wa timu ya Chelsea, Thomas Tuchel baada ya kusema Manchester city wana bahati ya kuwa na idadi ndogo ya wachezaji waliopata maambukizi ya...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
News za Simba zipo Simba App. PlayStore Simba SC #NguvuMoja App - Apps on Google Play Appstore
8 Reactions
63 Replies
7K Views
Ona Mazoezini Simba
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Hongereni sana Timu ya Wananchi(Dar Young Africans). Mchezo mliouonyesha imeonyesha kuwa Timu ya Simba bado sana na inabidi wajipange kisawasawa. Usajili wa mwaka huu kweli kama mashabiki...
5 Reactions
64 Replies
5K Views
Baada ya kuwasili uwanja wa taifa wa jijini Dar es salaam. Mjuba alizuiwa na waandishi waliojitambulisha kuwa ni wa habari. Na mara moja wakaanza kumuuliza kuhusu tetesi za kujiunga simba kama...
4 Reactions
34 Replies
6K Views
Habari, Robert Lewandowski amefungua mwaka vyema kwa kuendelea kushinda tuzo yake ya mchezaji bora wa mwaka zinazotokewa na FIFA ambapo alikuwa akichuana na washiriki wenzake ambao ni Lionel Messi...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Mara baada ya kumaliza mchezo kati ya Simba v/s Mbeya City, wachambuzi wa Azam Media walubainisha hii nukta, pamoja na mambo mengine ya kitaalamu lakini hili walilibainisha. Kwamba benchi la SSC...
9 Reactions
25 Replies
3K Views
Majira ya saa 2 usiku Pablo Franco atambulishwa kuwa kocha mpya wa mabingwa wa nchi Simba sc club Binafsi moja kwa moja nikaangakia CV zake nikaona inavutia achana na kuwa kocha msaidizi wa Real...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Hello JamiiForums, Moja kwa moja kwenye mada,ndugu zangu na mashabiki wenzangu wa mpira wa miguu (football). Naomba basi tujifunze na kuheshimu timu zingine,tuache ile hali ya kuona kuwa hizi...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu wana Michezo.Mimi siyo mchambuzi wa mpira ila ni mpenzi mtazamaji tu. Leo Simba kabanwa mbavu,bahasha haijasaidia,Mmadrid nae kachemka.Tulikubaliana na GENTAMYCINE kwamb Pablo...
9 Reactions
4 Replies
798 Views
Mimi ni shabiki wa Yanga ila sipendezwi na Haya Maneno ya Hawa Wachambuzi Wanahakati. Hii ni dharau kubwa kwa wachezaji wetu wa Ndani. Haya maneno ya huyu Mchambuzi yanawajengea Over Confidence...
4 Reactions
25 Replies
2K Views
Uyu kocha naona ana hasira za haraka sana, awe makini zisije zikamgharimu pale zitakapokwenda mpaka kwa wachezaji, ajue hii ni ligi kuu na sio kombe la mapinduzi hili kila timu inajituma kwasababu...
6 Reactions
19 Replies
2K Views
Club ya Simba karibuni imekua ikijikongoja katika upigaji wq penalt yaani simba ikipata tuta basi ujue mashabiki wanabana kende badala ya kushangilia kwani hawana uhakika na matokeo. Wachezaji...
6 Reactions
41 Replies
4K Views
Leo GENTAMYCINE nipo Kimpira ( Kimchezo ) zaidi na nimeweka Ushabiki wangu wa Simba SC pembeni. Nitakaowakwaza ( hasa wana Simba SC wenzangu mtanisamehe kwa huu Ukweli wangu kwani sijazoea Unafiki...
7 Reactions
32 Replies
3K Views
Tiketi za Michezo ya Olimpiki ya Msimu wa Baridi 'Winter Olympics' itakayoanza Februari 4, 2022 huko Beijing Nchini China zitatolewa kwa makundi kadhaa ya watu na hazitauzwa kwa Umma. Kutokana na...
0 Reactions
1 Replies
936 Views
. A- Kocha wa Mbeya City amemzidi Akili Kocha wa Simba Sc? . B- Siku mbaya Kazini kwa mnyama? . C- Mbeya City waliutaka mchezo zaidi ya Simba Sc? . D- Hangover ya Ubingwa wa Mapinduzi Cup? . E- Au...
2 Reactions
9 Replies
927 Views
NBC Premier League leo ljumaa. Saa 10:00 jioni KMC watakuwa uwanja wa Ali Hassan Mwinyi Tabora kuwaalika machampion watetezi Simba SC. Simba Leo Wahitaji kushinda huu Mchezo kwa Hali na Mali...
8 Reactions
246 Replies
17K Views
Yanga ndiye bingwa wa kihistoria wa ligi kuu Tanzania bara NBC Premier League amechukuwa ubingwa huo mara 27 katika makala hii niitajibu maswali yote yanayohojiwa hapa jukwaani kuhusu rekodi hizo...
4 Reactions
25 Replies
4K Views
KOCHA WA MAKIPA WA SIMBA[emoji881] MBIONI KUJIUNGA NA YANGA SC[emoji617] Taarifa za ndani kabisa zinasema kuwa Yanga SC [emoji617] inakaribia kumnasa kocha wa zamani wa Simba[emoji881], Mbrazil...
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Nimeona yanga kwenye mechi ya coastal union nimejiridhisha kwamba msimu huu wamepania kufanya jambo ktk kuupigania ubingwa waliopoteza misimu 3 iliyopita, kuna kauli nazisikia zikisema yanga...
3 Reactions
11 Replies
959 Views
Back
Top Bottom