GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,542
- 108,877
Leo GENTAMYCINE nipo Kimpira ( Kimchezo ) zaidi na nimeweka Ushabiki wangu wa Simba SC pembeni. Nitakaowakwaza ( hasa wana Simba SC wenzangu mtanisamehe kwa huu Ukweli wangu kwani sijazoea Unafiki ) na hata mkitaka au mkijisikia pia hamu ya Kunitukana pia kuweni Huru tu.
Sioni sababu na wala sitoikubali sababu yoyote ile ya kwanini Simba SC yangu haichezi 'Kiporo' chake kabla ya Kuivaa Azam FC tarehe 1 January 2022 ( yaani Jumamosi hii ijayo )
Na kama kuna mwana Simba SC ambaye atafurahia au anafurahia kwa Simba SC yetu Kubebwa, Kudekezwa na Kuogopwa na TFF atakuwa ni 'Damn Fool' hasa.
TFF na Bodi ya Ligi Kuu ya NBC acheni kufanya huu Uonevu na Unyanyasaji kwa Vilabu vidogo kwa Gharama ya Kuipendelea na Kujipendekeza kwa Simba SC hasa kwa Kuwasikiliza kila wakitakacho kwani kwa Afya ya Mpira wetu na Ligi this is not fair at all na nalaani Kitendo hiki.
Nanyi Simba SC msidhani labda Kubebwa, Kupendelewa, Kudekezwa na Kuogopwa huku na TFF Kunawajenga Kimchezo bali ndiyo kunatuharibu zaidi kwani hata Kiufundi tu Timu inapokaa muda mrefu bila Kucheza Mechi inapoteza 'rythm' yake na nilidhani kwakuwa Simba SC tunaenda Kucheza Mechi ngumu dhidi ya 'Mafundi' wa Azam FC basi tungeomba tukicheze 'Kiporo' chetu ili Kwetu iwe kama ni 'Mechi Maandalizi' kuelekea hiyo Jumamosi.
Simba SC tukatae huku Kubebwa, Kuogopwa na Kupendelewa kila mara na TFF pamoja na Bodi ya Ligi Kuu ( TPLB ) kwani Kunatulemaza 'Kiushindani' na hakuna Tija pia ndani yake. Tungecheza tu 'Kiporo' chetu hata Kesho Jumanne na Jumamosi tucheze na hao Azam FC ili kabla ya Ligi Kuu ya NBC Kusimama kupisha Michuano ya Mapinduzi tuwe sawa Kimichezo na Vilabu vyote ila nasikitika Simba SC ndiyo tutakuwa nyuma ya Wote kwa idadi ya Mechi tulizocheza.
Napenda Kwanza Mpira Simba baadae!!!