Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

WALE MLIOMPENDA YAKOUB WETU MECHI ZA TAIFA STARS UKWELI SIMBA BADI HAWAJAMLIKI JANA JKT WAMETOA SIKU SABA SIMBA KUKAMLISHA AHADI ZAOO IKIWEMO KUMALIZIA MALIPO NA KUWAPA WACHEXAJI WATATU TOKA...
2 Reactions
1 Replies
477 Views
Young Africans [emoji1241] na Utaratibu wao ule ule. Baada ya kuwasimanga wapinzani wao Simba Sc kwenye jezi zao za msimu uliopita wakiweka namba 5 baada ya kuwafunga mabao 5-1, msimu huu...
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Sijajua ni kwanini kwenye kubuni jezi mnawaza kuhusu mapambio utafikiri ni nguo za fasheni vile. Mara maghorofa, mara kuweka watu na safari hii jezi zimeharibiwa na kuwaza UCCM na kuwaza Simba...
4 Reactions
46 Replies
2K Views
Tuachaneni na huu Ushamba kuwa hata Makocha wazalendo wana Ubavu wa Kufundisha Timu zetu za Taifa. Afukuzwe.
3 Reactions
33 Replies
2K Views
Hadi raha wana Jf. Huyu Mwamba alitunanga sana oooh kundi dhaifu Madagascar wametuma ujumbe huko. kwenye maisha don't be talkative...
6 Reactions
20 Replies
893 Views
Kwann tunune, Kwanini tukasirike, Kwanini tuwe na huzuni. Wazanzibar tumefurahi Note kuna Wazanzibar na Wazanzibara. Ata sisi Wazanzibar tungependa kuona timu zetu katika mashindano ya CAF FiFA...
7 Reactions
21 Replies
1K Views
Leo Yanga SC wameichangia CCM ambayo ndiyo inatengeneza Serikali Wapumbavu, Washamba na Wanafiki wote mmekasirika mbona hiyo hiyo Serikali inayoundwa na CCM ikiipa Yanga SC msaada wa Ndege kwenda...
17 Reactions
58 Replies
3K Views
Pole alituibia mbinu 1 ya ushindi wa Chama chetu ni kuwa NIDA zote zipo kwenye mfumo wa tume na zimefanya tushinde hata kabla ya uchaguzi Kwanini lakini walisahau kuiunga Taifa stars kwenye huu...
13 Reactions
25 Replies
1K Views
PAMOJA tumeandaa CHAN na PAMOJA tukawa namba 1 kwenye Makundi kadhalika PAMOJA tumetolewa Robo, Tumeaibika PAMOJA! Hii imekuwa Aibu kubwa kwa Jumuiya ya Africa mashariki Ahsanteni sana
1 Reactions
4 Replies
242 Views
Klabu ya Yanga Sc leo imeingia mkataba wa miaka mitatu na kampuni ya Haier wenye thamani ya shilingi bilioni tatu, haier watakaa kwenye bega la kushoto jezi ya Yanga kwa misimu mitatu. Je...
5 Reactions
44 Replies
2K Views
Leo tuangazie adui wa maendeleo kwa watu wa rika zote anayejulikana kama aviator na maarufu kwa jina la Kandege. Mchezo huu umegubikwa na siri nyingi sana na ambazo wenye betting sites wamekuwa...
52 Reactions
73 Replies
23K Views
Itoshe kusema Afrika mashariki mliongoza group za CHAN ni kwa bahati na kimaajabu tu, leo hii mumeona kilichotokea. Wengine wakasema sijui Afrika mashariki mnatimu imara kwa wachezaji wa ndani...
0 Reactions
4 Replies
659 Views
Hili swali huwa najiuliza sana toka nilivyosikia azam wamemlipa fei toto bilioni. Na mshahara wa milioni 50 sijui milioni 40 kwa mwezi ? Kwa kumtazama toka nimemjua Fei toto , kwenye mechi ngumu...
2 Reactions
21 Replies
1K Views
Ukweli usemwe mapema, tusifiche mambo. Kukua kwa soka letu kunahitaji misingi imara ya uongozi ndani ya chama cha soka. Matunda ya soka tuliyonayo sasa ni matokeo ya uongozi imara wa TFF kipindi...
10 Reactions
18 Replies
880 Views
Sijukama niandike kwa English au Kiswahili anyways, nadhani niende Kikongoman , Hivi Majirani wa Kenya Mpo hapa nataka tuzungumze masuala na Mupira kidogo, Maana sisi wa Tanzania Hatujuagi Mpira...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
CHAN 2024 – Robo Fainali πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Tanzania vs Morocco πŸ‡²πŸ‡¦ πŸ“ Uwanja wa Mkapa, Dar ⏰ Saa 2 Usiku Tanzania kwa mara ya kwanza tumefika robo fainali ya CHAN. Morocco ni mabingwa mara mbili (2018 & 2020)...
13 Reactions
410 Replies
15K Views
Kuelekea mchezo wa michuano ya CHAN kati ya Taifa Stars dhidi ya Morocco utakaochezwa leo Agosti 22, 2025 katillka dimba la Benjamin Mkapa Dar es Salaam, Mkuu wa mkoa huo Mhe. Albert Chalamila...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Hii ndio hali halisi ya Watanzania kwa sasa kutokana na yanayoendelea Nchini mwao Wengi wanaiombea Dua njema Morroco ili iiondoe Nchi yao kwenye CHAN. Tulipowahoji kwanini wanasaliti Nchi yao...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…