Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Rangi ya Mtume sio poa kabisa, leo wamewaondoa Senegal kwa Penati. Ndio maana kwenye mechi na Taifa langu sikuwa na sababu ya kumlaumu mtu, mlima mrefu ule Wacha Mungu wale jamani, kalagabaho
1 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza...tusitafute mchawi wa kwanini tunashindwa na timu kama Madagscar au Sudan nchi ambazo hazipo kwenye top 20 ya ligi bora za Africa kwa wachezaji wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nitalielezea hili jambo kwa ufupi sana, mengine mtajalizia wenyewe. Nimeacha kuongelea sana soka la Tanzania maana wababaishaji ni wengi, kuanzia viongozi, wachezaji, wachambuzi na waandishi wa...
6 Reactions
16 Replies
2K Views
KILA.LA KHERI MWAMBA ULIITENDEA HAKI TATHNIA YA MPIRA ALL DBEST NIONGEZE SAUTI AMAA.???
0 Reactions
3 Replies
408 Views
Klabu ya Simba ikiwa inaelekea kumaliza Pre season yake huko Misri inataraji Kucheza Michezo miwili ya kimataifa ya kirafiki . Simba itacheza na Wadi degla ambayo inashiriki ligi kuu ya Misri...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Katika historia ya michezo ya riadha duniani, tarehe hii itaendelea kukumbukwa kwa muda mrefu. Mwanariadha kutoka Afrika Kusini, Sibusiso Kubheka, ameweka rekodi ya aina yake baada ya kuvunja...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Angalia nyuzi. Ni Jersey za Simba hivi , jersey za Simba vile. Yanga tumezindua lakini nyuzi nyingi ni abt Simba. Why? Kwa nini? Nasi Yanga ndo tumekazana kuzi promote jersey za Simba. Mara...
9 Reactions
22 Replies
2K Views
Zikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza rasmi kwa kipute cha Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara, mjadala mkubwa unaoendelea miongoni mwa wadau wa soka ni juu ya nani ametisha zaidi katika dirisha...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Kabla ya kutiririka naomba kunukuu -Ukimuona mtu mzima analia ujue kuna jambo -ukimuona mbwa juu ya mti ujue hajapanda mwenyewe huyo ila kuna mtu amempandisha Kuna taarifa za kiintelejensia...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Murtaza Mangungu mwenyekiti wa Simba SC baada ya kutoka Kikaoni na Serikali, TFF na Bodi ya Ligi amesema; "Kikao chetu sisi kimejadili maendeleo ya mpira hakijajadili walichojadiana na wenzetu...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Leo tarehe 4 April ni mwezi umepita ambapo Simba alikimbia mechi,tarehe 8 March Sababu za kukimbia mechi ni uoga uliowajaa Simba kutokana na wachezaji wao wenye unafuu kuwa na majeraha kama Che...
4 Reactions
16 Replies
872 Views
Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Kwenye Mada kwa ufupi, Ushahidi wa hili , siku kama ya jana ilitakiwa Taifa lote concentration iwe Kwa Mkapa maana mambo ya Maendeleo tutawapa Waarabu na Wachina kama PPP lakini cha kushangaza...
3 Reactions
7 Replies
606 Views
Ni aibu sana. Sal Tape kweli mtu anafungwa kichwani? Wakati wa kumtoa si inaweza toka na ngozi au nywele? Halafu mnakaa kuahidi ujinga badala ya kusaidia team iwe vizuri.
9 Reactions
28 Replies
2K Views
Kama ulishawahi kutazama game zake either physically au online bila shaka utakiri huyu jamaa ni mchawi kama sio jini kabisa. Jamaa anakufunga anavyotaka yeye, yani kuna ile game unaona kabisa...
21 Reactions
84 Replies
4K Views
Nyie mnaoamini Maisha ni pesa kuna mbinu zaidi ya pesa CHAN imenifundisha mengi sana nisidharau mtu sababu ya pesa unaweza ukaahidiwa mamilioni ukaishia kupata history ulikuwepo CHAN Nimewaza...
0 Reactions
2 Replies
599 Views
Anayecheza pale ni Rais Samia au Chama Cha Mapinduzi? Hivi ni kwanini kila Kukicha tu Akili za baadhi ya Watanzania zinazidi tu kwenda mrama na kutia Aibu? GENTAMYCINE naweza kuwa kweli sipendezwi...
19 Reactions
135 Replies
6K Views
Nimeona jezi za Simba alizitengeza diadora zikiwa mbaya mno. Nina wasiwasi kama kweli jayrutty alitwambia ukweli kama diadora ndo atakuwa na mashirikiano nae ili wazalishe jezi Bora Diadora ni...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
1 Reactions
23 Replies
5K Views
Back
Top Bottom