Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Zaaaaa ndaniii kabisa ni kwamba makolo wamepima kina cha maji wameona watazama tena, hivyo wametafuta kila aina ya sababu ya kukimbia ngao...
Nimekuwa nikifuatilia sana maendeleo ya Azam FC, leo nimeshuhudia wakiwafunga APR mbele ya washabiki wao, mpira mwingi sana umepigwa, vijana wanacheza soka nzuri sana yaan kiufupi Azam...
Kupitia Wasafi FM, aliyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Yanga, Boniface Mkwasa 'Master' ametoa maoni yake juu ya sakata la mcheza Clement Mzize. Mkwasa amesema Yanga kuendelea kumshikilia...
Inasemekana kuwa Mwalimu amefeli kule Wydad.
Selemani Mwalimu anarudi kucheza Simba kutoka Wydad kwa visingizio vyepesi kabisa kama walivyorudi wengine kutoka Afrika ya waarabu. Waarabu hawawezi...
Mashabiki walishangaa ikiwa ni baada ya YF Juventus, klabu ya mjini Zurich inayocheza katika Swiss 1. Liga Classic, kuingia uwanjani wakiwa wamevaa jezi zinazofanana kabisa na zile za FC Barcelona...
"Yule mtu wetu Tuliyempandikiza kwenye Timu yao kanihakikishia hapa, Usiku huu wamefukuzwa watu watatu kwenye hii ishu ya Jezi kuvuja.. Lakini Yeye yuko salama Kabisa hawajamshtukia
Tumuombee...
Kijana umepambana sana,huna misingi ya soka lakini umepambana sana kama osama wa morocco ambae amelelewa kisoka.Lile goli ulilokosa sio tija maana ni alama ya wazi kuwa hukupata malezi ya...
Simba walikuwa na muda wa kuwaaga Bocco na Mkude kama wangetaka kuwaaga wakati ule walipopanga kuwaacha kwakuwa kumuacha mchezaji sio dharura wala ajali.
Zawadi inakuwa na maana na faida kama...
Habari wadau,
Nimeangalia game ya Senegal Vs Morocco kiukweli Hawa jamaa wanajua ball , Wana utulivu wa kutosha.
Nimeamini Kuna uhusiano wa njaa/umasikini na Wenge, wachezaji wetu Wana Wenge...
Aisee mpira wa Tanzania nauona kama takataka na na ubaya wa viwanja naona kama ukiwa mshabiki wa hizi timu kichwani lazima nyuzi ziwe zimetoka kiufupi Mimi ni mpenzi wa football inayoeleweka na...
Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU
Simba wamesogeza mbele uzinduzi wa jezi zao ni baada ya jezi hizo kuvuja
Ali kamwe amesema kuwa wana shushushu wao huko ukoloni na watatu...
Magoli mia katika ligi nne tofauti na timu ya taifa.
GOAT ni mmoja tu!
Wala ahahitaji xavi au iniesta wa kumpenyezea, jamaa ni mashine ya magoli.
Ndugu yenu psg imemshinda, marekani napo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.