Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Mechi ijayo ya NBC PL, Yanga akimfunga Coastal Union, anatwaa Ubingwa wa NBC PL. Kwa maana hiyo Ubingwa wa Yanga wa NBC PL upo mikononi Kwa Coastal Union! Kisha Yanga akimfunga Coastal Union...
9 Reactions
12 Replies
1K Views
Nawapa hongera sana GSM kwakufanikiwa kutembeza bahasha za kaki kwa MO na CEO wake Barbara ili Yanga amfunge Simba kwa goal moja bila kwenye nusu fainali ya Azam Sport Federation, hongera sana...
26 Reactions
44 Replies
3K Views
Kama ni kweli basi Mwarabu wa watu anajichimbia kaburi historia ya kocha klabu zetu haswa yanga kuja na wachezaji wa nchini mwake siyo nzuri, kwanza wakiwa chini ya kiwango atalazimisha kuwapanga...
0 Reactions
14 Replies
5K Views
Ripoti mbalimbali toka viunga vya jiji la Liverpool zinabainisha mshambuliaji wao raia wa Senegal, Sadio Mane, ataondoka dirisha hili la kiangazi. Habari hizo zinadai kwamba, Bayern Munich...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Namshauri Mo Dewji, kama kweli anataka kuendelea kuona mafanikio Simba basi hana budi kuvunja bodi ya wakurugenzi, hao akina Asha Baraka, sijui Mangungu, sijui Kaduguda hawana msaada wowote, hao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Nawaza sana John Bocco anachezeshwa Simba na kuitwa Taifa stars kwa kiwango kipi? John Bocco huyu wa sasa ambaye hata kutuliza mpira imekua kazi kwake. John Bocco huyu kupiga shuti kwake ni...
4 Reactions
35 Replies
4K Views
Ligi Kuu ya Tanzania Bara mdhamini wake mkuu ni ni Benki ya NBC ambaye amechukua jina kabisa la ligi hiyo ikiitwa Ligi Kuu ya NBC. Upande wa pili kuna Championship au Ligi Daraja la Kwanza ambayo...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Hali ya mchezaji wa zamani wa yanga kipaji kimekufa? Nimeikuta mahali wengi wanasema amekuwa boda boda
2 Reactions
31 Replies
5K Views
Habari zenu mabibi na mabwana! Leo ni sikukuu kubwa barani Ulaya na Duniani kwa ujumla. Ni mchezo wa Fainali ya Uefa Champions League kati ya Liverpool Vs Real Madrid. Awali fainali hii...
31 Reactions
269 Replies
20K Views
Na Thadei Ole Mushi. 1. Pale Simba kwa wachezaji wa Nje wabaki wawili tu Inonga na Kanoute. Hawa kina Onyango ni wakati wa kwenda kupiga kura huko Kenya na Kubakia huko huko. 2. Mayele...
9 Reactions
9 Replies
1K Views
Absolutely amazing scenes at the Etihad. Last time I saw this was at the same Etihad in 2012 And yesterday I couldn't resist my tears after observing Gudiola in tears. Actually it was my first...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Mashabiki wa Yanga uzi huu ni kwaajili ya kutoa maoni na mapendekezo ya namna ya usajili kwenye maeneo yenye mapungufu ili kuifanya Yanga iwe imara zaidi ili kwenye klabu bingwa ifanye vizuri kwa...
3 Reactions
28 Replies
5K Views
Mimi naijua Simba, sijaanza kushabikia Leo wala jana, nmeanza kwenda uwanjani kuangalia Simba enzi za akina Aston Padon, Juma Limonga, Sunday Juma, Mosses Mkandawile, Omary Hussein Kevin keegan...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Familia moja Jijini Mwanza imeonesha jinsi ilivyo na mahaba na mshambuliaji Fiston Mayele wa Klabu ya Yanga, baada ya kumpa jina mtoto wao linaloendana na mchezaji huyo raia wa DR Congo. Kwa...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Kwa ninavyoelewa, endowment fund huwa zinatolewa na matajiri kama msaada. Yaani hiyo pesa inawekezwa na faida anapewa yule mnufaika wa msaada. Lengo huwa na mnufaika kuwa na pato endelevu. Sasa...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mnyama mkali kuwahi kutokea dunian, Simba sc atakuwa dimbani kuchezea dhidi ya timu ndogo Yanga sc nusu fainali ya Azam federation cup jumamosi hii. Ikumbukwe kuwa Simba sc wamekuwa wakiifumua...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Imekuwa kawaida hapa Tanzania karibia maeneo yote kukuta vijana wakiongelea mpira kutumia neno position badala ya possession wanapokuwa wakimaanisha umiliki wa mpira. Na maandishi huwa wanawekewa...
3 Reactions
5 Replies
922 Views
Wachezaj na viongoz wa timu tajwa hapo juu msimu huu mlisajiri vizuri chombo chenu Cha usafiri na hii iliwafanya msafiri kwa raha Sana Tena mno na hamkusajir uwanjani kwasababu hakikuwa kipaumbele...
1 Reactions
22 Replies
2K Views
Back
Top Bottom