Wakuu Kumbu kumbu nzr sana hii, namkumbuka Ramadhani Lenny akija home ( mtoni Kwa azizi Ali, uwanja wa sifa) kucheza ndondo akitokea mbagala kabla ya kuingia Simba.
.
Hakika alikuwa moto sana na...
Wanabodi.
Mbona naona kama wabongo hatuna kabisa mzuka na hamasa kwa timu yetu ya Taifa? Shida ni nini? hakuna uzi nyingi humu why?
Wangapi tuna mpango wa kuiombea na kuishangilia timu yetu ya...
Ukizumgumzia neno transformation ya team ya mpira iko vitu vingi sana including internal factors for instance data base ya team na data base almost inakuwa pushed on na fans wa team
.
Nawapongeza...
Za ndaaani kabisaaaa, Saidoo Ntibazonkiza amemwaga saini ya miaka miwili kuwatumikia DTB ambayo ni timu mpya katika ligi kuu ya NBC.
Unaambiwa DTB wana mipango ya kutaka kupata nafasi za...
VIKAO vya siku mbili ndani ya Simba vimeamua rasmi kuachana na kocha mkuu Pablo Franco kwa kile kilichodaiwa ni kutoridhishwa na mwenendo wa timu hiyo.
Simba imepoteza mataji yake yote mawili la...
Mlinzi wa Manchester City, Benjamin Mendy (27) ameshitakiwa kwa makosa manne ya ubakaji na lingine la unyanyasaji wa kijinsia, kwa mujibu wa Polisi wa Cheshire.
Makosa hayo yanawahusu...
Mchezaji wa Manchester City Benjamin Mendy (27) sasa anashtakiwa kwa makosa nane ya ubakaji, shtaka moja la unyanyasaji wa kijinsia na moja la kujaribu kubaka baada ya mwathiriwa mpya kujitokeza...
Asalaam
Tofauti ya kuondoka Morrison Simba na wachezaji wote wanaotoka hivi vilabu vikubwa huwa kuna mvutano sana.
Leo BM3 anaondoka Simba kila mchezaji anafurahi hadi wanamtakia heri imefikia...
Hivi kuna haja gani ya kutumia nguvu kubwa ktk propaganda badala ya kufanya uwekezaji wa kweli?
Haya sasa wameanza kufanya propaganda za kitoto ili kuwaaminisha mashabiki wao[emoji849][emoji849]...
Hivi karibuni Rais SSH alipokea kombe la mpira la dunia, swali la kujiuliza je, kuna mazingira wezeshi ya kukuza na kuendeleza vipaji nchini?
Kila kona ya nchi, mijini hadi vijijini, wananchi...
Kocha wa APR ya Rwanda, Mohammed Adil Erradi, ametua Dar kimyakimya kwa ajili ya kufanya mazungumzo na mabosi wa Simba huku akiwa ameomba ruhusa ya mapumziko katika klabu yake.
Simba imekuwa...
Baada ya "semaji" kuvurugana na Barbra sasa ni zamu ya Kassim Dewji.
“Waajiriwa wengi Simba SC hawana taaluma ya ajira zao. Bodi haina nguvu ya kuwawajibisha waajiriwa wao. CEO wa Simba ni kama...
Nina Taarifa za kutosha tu na za uhakika kuwa Mmoja wenu hapa (kwa niliowataja) kupitia Mdogo wako anatumika kwa Kushirokiana nawe ili Kuihujumu vibaya Simba SC kwa Ahadi ya Kusaidiwa na Kiongozi...
Sioni namna Pablo kocha mgeni Simba atakavyoweza kupata matokeo mazuri kwa wachezaji waliopo Simba. Kocha ni wa kawaida na wachezaji ni wa kawaida pia.
Pablo angekuwa kocha mzuri sana...
Katika Miaka Minne ya Simba Imefanya makubwa kwa hiyo hata kama tunawaondoa wachezaji tuwaondoe kwa heshima.
Wamefanya makubwa lakini pia viongozi wa Simba anzisheni mambo ya kusajili wanachama...
Wydad Casablanca wamechukua ndoo ya Klabu bingwa Afrika baada ya kumpiga Alahly 2:0.
Kama Msuva angevuta subira kidogo tu leo ingekuwa storry ingine kabisa.
Angekuwa Mtanzania wa pili baada ya...
Kwa heshima na taadhima, naienzi hii timu ya kijiweni Mtaa wa Congo ambayo ilishiriki ligi kuu Tanzania Bara na kuwa tishio kwa kupiga mpira na buti.
Rosta Ndunguru na wenzako, tunawakumbukeni...
Kocha wa Azam P didy wa bongo zikibaki dakika kumi mpira kuisha huwa anainama kuomba dua muujiza utokee badala ya kuwapa morari wachezaji wake lakini wapi pumzi ya moto wanapelekewa,anafaa kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.