Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Nimemsikia huyu mwamuzi mstaafu kichambua matukio ya michezo ya NBC premear League. Moja ya matukio aliochambua ni "advantage play" alionyimwa Mayele. Osman kaze anatuambia kua kwenye sheria 17...
1 Reactions
45 Replies
4K Views
Bm 3 ana deals 2 moja kwenda sudan au saudi arabia na mshahara ni mkubwa sana ,tatizo ni kwamba kule starehe hakuna sijui kama ataweza. Kingine kikubwa ni kipa wa Dodoma jiji aitwaye Mohamed...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Kitendo cha mpira wa adhabu ndogo waliopata Niger kupigwa juu sana na bila kuguswa na mchezaji yoyote na ukatoka nje na kwa maajabu ya kila alietazama mechi ya Niger na Tanzania na Niger kupewa...
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Serengeti Girls wanakwenda India kucheza kombe la dunia na ni mara ya kwanza katika historia ya Tanzania. Bravo sana makocha, bravo wachezaji wote mliopambana mpaka kupata ushindi wa kishindo wa...
5 Reactions
6 Replies
1K Views
Kiukwel mimi ni shabiki wa Liverpool kindakindaki kwa muda wa miaka 28 Sasa toka nianze kujua hisia za mpira nikimaanisha furaha na uchungu wake Hii timu kwa Sasa inakoelekea inarudi shimoni...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
➡️ Kwa muda mrefu wadau wahafidhina wa michezo hapa nchini wamekuwa wanakereka na tabia iliyoota mizozi ya Simba na Yanga kupokea na kushangilia timu za nchi nyingine zinazokuja kucheza na timu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanaspoti wenzangu Siku na wakati ndio umewadia. wengine mmeshakata tiketi kwenda uwanja wa Taifa na wengine kwetu ni JF na kila kitu iko humu. Tuanze kupeana updates zote za mpambano huu kuanzia...
5 Reactions
221 Replies
19K Views
MARCUS RASHFORD, KIPAJI KINGINE KINACHOELEKEA KUFUATA NYAYO ZA ADNAN JANUZAJ . Kalamu ya Nasri Kulemba Ni usiku wa maajabu ,ni siku nyingine ya ulimwengu kushanga !!! ilikua ni siku ya...
5 Reactions
7 Replies
2K Views
HIVI NDIVYO PAUL WA MATUMAIN ALIVYOONDOKA OLD TRAFORD . kalamu ya Nasri Kulemba “NImerudi nyumbani “ni maneno aliyoyazungumza kwenye kipande kidogo cha video ,huku akiwa amevalia jezi zake...
3 Reactions
4 Replies
917 Views
Mo Dewji ameposti katika page yake kuwa anajiandaa kusafisha wale wote wanaonekana hawaendani na mipango yake na watamuangusha, ameona akiendelea kupanda chombo kimoja na watu wanaotaka kuzamisha...
9 Reactions
24 Replies
2K Views
Klabu ya Simba kupitia mtendaji mkuu wake Bi Barbara Gonzalenz imesema tangu walipoanzisha utaratibu wa kuchangia ujenzi wa uwanja wa Klabu kuanzia mwezi wa 12 mwaka 2021 hadi Mwezi huu...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
Leo kwenye press conference nimeona Ceo wa Simba na afisa habari wakiwakilisha klabu yao ya Simba, kwa upande wa GSM walikuwepo Haji Manara, Senzo Mazingiza na afisa habari wa Yanga Hassan...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
CEO wa Simba Bibi Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha mshauri wa mabadiliko ndani ya klabu ya Yanga. Katika kutilia mkazo hilo akasema hawezi kubali kufananishwa na Senzo...
7 Reactions
60 Replies
7K Views
Mabadiliko mema kabisa kwa mwanahabari wakati Brazil inapata kipigo kikubwa kilichowahuzunisha si Brazil bali wapenda soka wote duniani. Video clip inajieleza.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Baada ya Shirikisho la Riadha Tanzania, Kamati ya ufundi na Kocha wa timu ya Taifa , Suleiman Nyambui kumfukuza Mwanariadha Failuna Abdi Matanga, Gidabuday alihoji uhalali wa kumfukuza...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Wanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Alphonce Felix Simbu, Gabriel Gerald Geay na Emanuel Giniki Gisamoda wanatarajia kuhudhuria kwenye kikao cha Uwasilishwaji wa makadirio ya Bajeti ya mapato na...
0 Reactions
5 Replies
902 Views
RIPOTA PANORAMA 0711 46 49 84 IKIWA ni zaidi ya mwezi mmoja sasa tangu Kamati ya Olimpiki Tanzania (TOC) kutangaza kuitisha mkutano mkubwa wa waandishi wa habari kujibu tuhuma za ufisadi ambazo...
0 Reactions
0 Replies
788 Views
23 May 2022 Yaoundè Cameroon Je U17 Serengeti Girls kuandika Historia kwa kupata tiketi ya Kushiriki michuano ya Kombe la Dunia 2022 Nchi za Tanzania pamoja na Ghana, Nigeria zimejisogeza...
2 Reactions
23 Replies
4K Views
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars ipo kwenye Uwanja wa Stade de L'amitie General Cotonou Nchini Benin ikipambana na Niger kwenye mchezo wa kufuzu Afcon 2023 Hadi kufikia kumalizika kwa...
1 Reactions
49 Replies
4K Views
Tayari Adebayor amepost instagram akiwauliza watanzania kama wapo tayari, Je ni timu gani imekaribia kumnasa huyu striker. Na siku 3 zilizopita alipost akifanya online conference na Mo.
3 Reactions
43 Replies
4K Views
Back
Top Bottom