CEO wa Simba, Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha

Cvez

JF-Expert Member
May 19, 2018
4,349
13,085
CEO wa Simba Bibi Barbara Gonzalez hataki kufananishwa na Ndugu Senzo Mbatha mshauri wa mabadiliko ndani ya klabu ya Yanga. Katika kutilia mkazo hilo akasema hawezi kubali kufananishwa na Senzo sababu Senzo sio class yake na anaamini katika uwezo wake.

Kitu ambacho kina mantiki ili wapate kufananishwa yapasa yeye na na Senzo wawe on the same class aidha Senzo awe CEO na sio mshauri au Barbara awe Mshauri kama Senzo la sivyo they are not on the same class.​
 
Ni vizuri kwani yeye ndo anafananishwa na Senzo, na sio Senzo anafananishwa na Barbara

Siku zote mdgo ndo huwa anafananishwa na mkubwa
Wanafananishwa kama nani na nani? CEOs au sababu wanamajukumu tofauti katika vilabu vyao
 
Kwenye level ya soccer sidhani Kama Barbra anamkalibia Senzo hata kwa 15%.. angejifunza zaidi sio kuanza kukejeli
It's true hamfikii..... ila huwezi kufanya comparison kati ya Mshauri na CEO sio same class
 
ni kweli barbra yuko sahihi huwezi kumfananisha CEO na mshauri wa kutengeneza kalenda
 
Back
Top Bottom