Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Messi Vs Timu za Ulaya Ronaldo Vs Timu za Amerika Kusini Kumbuka: Kwa mara ya kwanza katika maisha yake ya soka, Messi amefunga mabao matano katika mechi yake ya kwanza dhidi ya nchi ya Ulaya...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Inadaiwa Klabu ya Manchester City imeongeza jitihada za kutaka kumsajili nyota wa Klabu ya Arsenal na timu ya Taifa ya England, Bukayo Saka Mabingwa hao wa England wanafuatilia kwa karibu...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
1 Andaeni mararamiko yenu mapema kabisa kabla ligi haijaanza muyawasilishe pale TFF! 2 Mwaka huu tunachukua makombe yote mpaka na kale kakombe ka ndodo ka mapinduzi halaf tuone kiburi chenu...
5 Reactions
18 Replies
1K Views
Inadawa Real Madrid imekubaliana na AS Monaco kumnunua Aurelien Tchouameni (22) kwenye usajili utakaogharimu jumla ya zaidi ya Paundi Milioni 85 (Tsh. 249,405,355,250). Klabu za Liverpool...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Tangu nipate akili sijawahi kuona Timu ya taifa letu ikila kichapo cha mbwa mwizi kama hiki , unalipwa hela nyingi ili ufanye kazi lakini umeshindwa , tungeweza kufungwa ila si kwa kipigo cha...
4 Reactions
63 Replies
6K Views
Natumai muwazima Mimi ni mgeni hapa dar, mchezo wangu ni mpira wa kikapu yaani sijiskii vizuri bila kucheza tatizo kubwa ni viwanja vilipo imekua mtihani kweli Kama kunamwenye kujua viwanja...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Tarehe 1/june, kutakua na mechi babkubwa, kati ya Argentina ambao ni mabingwa wa bara lao (Amerika ya kusini) wanakutana na Italy ambao pia ni mabingwa wa bara lao (Ulaya) Game litachezwa...
5 Reactions
35 Replies
2K Views
Kama kawaida yao leo wameitisha press na kutoa takwimu za kupika.Hii imekuja baada ya kuona wanazidiwa katika mchakato wa nani zaidi. Utopolo hawishiwi maneno lakini ni wazi tu hawana mashabiki...
0 Reactions
41 Replies
2K Views
Ivi huu mda mbona mchache Sana tarehe 30 si mbali vilabu vyetu vitaweza kwenda na muda kweli hususani yanga isije tokea kama mwaka jana Simba nazani tupo makini na Mambo ya caf sababu tushazoe tff...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Jana wambeya na wasiotakia mema klabu bingwa tarajiwa ya Afrika yaani Yanga sc walifurahia sana taarifa kwamba CAf wamepost huko twitter wakisema team hiyo bora kabisa kwa viwango hapa afrika...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Lakini tutamkumbuka kama the best sprinter
5 Reactions
118 Replies
12K Views
Ni aibu kwa nchi ya tanzania kutokuwa na uwanja wa michezo ya ndani wenye hadhi ya kimataifa. Kuwa na kiwanja hata kimoja tu inatosha lakini ni standard, ule uwanja wa mabati pale taifa indoor...
0 Reactions
0 Replies
693 Views
Tunahitaji kucheza na kujituma ili kuhakikisha tunapata matokeo. kuna mambo makuu mawili ili kufikia lengo . kwanza ni lizima wachezaji watambue umuhimu wa mchezo . hili ni jambo muhimu sana …...
0 Reactions
3 Replies
698 Views
Mkiambiwa kwamba Yanga sc ndiyo mabingwa watarajiwa wa Afrika na klabu bingwa ya dunia msibishe, leo CAF kwenye page yao ya twitter wamepost kwa furaha clip ya team hiyo huko mwanza na vi emoji...
3 Reactions
37 Replies
4K Views
Ujenzi wa kituo cha Michezo cha Kisasa kuanza kujengwa katika viwanja vya Mwembe Yanga Temeke - DC Jokate Mwegelo
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Mikia tunawakumbusha huku
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Kocha wa Timu ya Taifa ya Riadha na Mwanariadha Mkongwe, Kocha Suleiman Nyambui, apokea Tuzo au zawadi ya "Hall of Fame" kwa kufanya vizuri katika enzi zake akikimbia kwenye Mashindano Mbalimbali...
1 Reactions
1 Replies
852 Views
Serengeti Girls imekuwa timu ya kwanza kukaa eneo maalum wanalokaa wabunge kwenye Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, leo Juni 7, 202 Timu hiyo imealikwa bungeni baada ya kufuzu kucheza...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
[emoji95]SIMBA SC NI VIGUMU KUNDELEA KUISHI KATIKA HISIA ,KUTOKANA NA KILE MLICHOOKIISHI JANA . Kalamu ya Nasri Kulemba..[emoji3578] Kuna shairi moja katika nyimbo ya Rado wa usiulize ,;ameadika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nakuhakikishia Haji Manara, kwa vile umeitukana sana Simba na kuiona haikukusaidia lolote katika maisha yako, basi subiri gemu ya Burundi na vs Cameroon ambayo umepewa ubalozi wa kuhamasisha ili...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom