Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Bus la wachezaji wa Dodoma Jiji FC limepata ajali likiwa njiani kutoka Mkoani Lindi kuelekea Jijini Dodoma, ajali imetokea katika eneo la kati ya Nangurukuru na Somanga wakati linatokea Ruangwa...
5 Reactions
32 Replies
2K Views
Kocha badala aelewe goli alilopata limetokana na foul ya Mchongo so awahimize wachezaji na awaite awakumbushe makosa wanayofanya au afanye Substitution ya Ateba na Mpanzu maana second half walikua...
12 Reactions
28 Replies
2K Views
  • Closed
Sasa anaweza kwenda huko huko Yanga SC alikokuwa akilipwa kwa Kuisaliti Simba SC kwa Kutoa kila aina ya Siri tuumie.
4 Reactions
39 Replies
2K Views
Maajabu yametoka huko Madrid baada ya Madrid kupewa ushindi wa penati.
1 Reactions
55 Replies
3K Views
Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki. Baada ya dereva (Fadlu)...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Yanga wana siku ya mwananchi tarehe 12, halafu baada ya siku 3 tu wanaikabili Simba kwenye ngao ya hisani. Je wameona mechi hiyo kwao ni mteremko? Je code zote za Simba bado wanazo ndio hawana...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Yani Mimi siyo mashabiki WA hizi timu mbili ila naziombea zote zishinde. Ndo hap leo nachanganyikiwa. Naipenda Arsenal kwa sababu ya da Nifah. Arsenal ikifanyaga vizuri anafurahi na wote humu...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso. Kafanya hivi kwa kisasi...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Pamoja na kuwa mtu hazuiliwi kuongea chochote kuna watu washaanza mdomo et tanzania itafuzu kumbe la dunia kwa kushika nafasi ya pili. Ukweli nikwamba timu itakayoongoza kila kundi ndiyo...
0 Reactions
6 Replies
663 Views
Ni wakubwa kiumri, wachanga kiuongozi. TFF ilianzisha mwaka 1945 na kujiunga Uanachama wa FIFA mwaka 1964. Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA) kilianzishwa mwaka 1991. Mipango mingi inayopangwa...
0 Reactions
0 Replies
200 Views
English iwasaidie basi waweze ku qualify world cup
3 Reactions
6 Replies
784 Views
“Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na...
10 Reactions
14 Replies
2K Views
Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini...
1 Reactions
5 Replies
685 Views
#MsasaSports Refa Akikosea, Shughuli Yake Imeisha: Wallace Karia Rais wa TFF Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya waamuzi wa ligi kuu ya NBC makao makuu ya TFF, Karume, Ilala...
3 Reactions
20 Replies
2K Views
''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana...
1 Reactions
7 Replies
701 Views
Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya. CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa Adhabu nyingine, Simba...
20 Reactions
82 Replies
5K Views
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars...
6 Reactions
99 Replies
6K Views
MAPUNGUFU KWENYE JEZI YA SIMBA [emoji3578]Na docky,,,,,, mtafiti,,,,,,, 1. Nembo (logo) haijashonwa, imebandikwa kwa gundi. 2. Mzamini wa bega pia umebandikwa kwa gundi. 3. Wadhamini ni wengi...
5 Reactions
34 Replies
2K Views
1.Yanga ilipigania uhuru wa nchi ....hivyo Yanga ni mali ya watanzania, Mimi binafsi nimefurahishwa na hili Ukichunguza asilia ya @yangasc Utasikia haya kua Yanga ndo wapigania uhuru.. 2. Karume...
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii. Wachambuzi...
6 Reactions
24 Replies
1K Views
Back
Top Bottom