Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha. Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho...
13 Reactions
44 Replies
3K Views
Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan...
6 Reactions
11 Replies
1K Views
Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa. Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha...
8 Reactions
30 Replies
2K Views
Tanzania hujinasibu kama taifa linalohusudu zaidi mpira na la viwango vya juu vya mpira Africa Mashariki, ajabu ni kwamba mahudhurio katika viwanjani katika CHAN ni haba sana na tunazidiwa hadi...
3 Reactions
53 Replies
2K Views
Bw Magori, nakupongeza mnoo kuwa mwenyekiti wa bodi ndani ya klabu yetu, Aidha kuondolewa kwa Try Again kumenifurahisha mnoo, kurudishwa kwa Barbra na Swedi Nkwabi nimefurahi pia. Ombi Nakuomba...
2 Reactions
6 Replies
715 Views
Mm kila cku asbh lazima nile karanga mbichi na tena nimehamasika mno baada ya semaji la Yanga kutaka kichwa, nakula karanga mbichi atar kWa ajili ya kusafisha kichwa, tena Magori ndio mwenyekiti...
0 Reactions
2 Replies
446 Views
🏟️ Aston Villa 🇨🇮 Evann Guessand 🏟️ Bournemouth 🇲🇦 Amine Adli 🇬🇭 Antoine Semenyo 🏟️ Brentford 🇳🇬 Frank Onyeka 🇧🇫 Dango Ouattara 🏟️ Brighton and Hove Albion 🇬🇲 Yankuba Minteh 🇨🇲 Carlos Baleba...
9 Reactions
10 Replies
1K Views
That is it. I'm writing this because Today The true footballer has added another trophy on his cupboard. That man who is currently playing Al Nassr, He's not deserving to be true GOAT. The guy...
2 Reactions
38 Replies
3K Views
Kikosi hiki cha zamani cha Simba SC kimeacha kumbukumbu kubwa kwa mashabiki wa soka nchini. Wengi walitoa burudani uwanjani na kutengeneza historia ya klabu. Unamkumbuka mchezaji gani hapa kwenye...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Rais na Mwekezaji wa Simba SC ametangaza mabadiliko makubwa ya kiuongozi ndani ya klabu hiyo, akibaki na nafasi yake ya Rais lakini akikabidhi Uenyekiti wa Bodi kwa kiongozi mpya kutokana na...
8 Reactions
35 Replies
3K Views
Nimeshangaa kuona Simba wanaweka nembo ya diadora kifuani kwenye jersey, wakati diadora hakuweka hata ah 100 pale Simba Tukumbuke aliyeshinda zabuni ya kutengeneza jezi ni jayrutty na sio...
3 Reactions
117 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, ibara ya 18, Freedom of expession is an absolute right.Absolute right maana yake kwa wanasheria ni kuwa ni haki ambayo...
2 Reactions
8 Replies
621 Views
Yamesikika maneno mengi na kejeli nyingi. Mara, ukisikia dunia tambala bovu, ndiyo hili. Wengine wanasema jezi zinauzwa kwa kilo. Wengine wanasema jezi zinavaliwa na wajumbe wa kutiki oktoba...
12 Reactions
53 Replies
3K Views
Mfano ukamkuta mtu kavaa kile kijora cha kijani cha utopolo halafu bahayi mbaya akawa añaendesha kile kibaiskeli cha kijani yaani hapo ukiitwa MJUMBE WA KURA ZA MAONI UTAGOMBA? SO kuna jezi ya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Ni ujinga umekubuhu kwa sasa.wanawake wengi wanapenda kubanangwa. Yaani mtu unataka umheshimu anakuambia au nikupe na huuu.. .unibanange ndo utaridhika. Huku akioneshea kwa nyuma. Mara ya kwanza...
6 Reactions
39 Replies
2K Views
Mimi ni mshabiki wa Brentford na Liverpool damu msimu huu tunaenda kuchukua epl Kwa wote msioamini haya maneno tukutane may ndio mtaamini the bees au the reds ni mabingwa 2025/ 26 tutawatoa...
3 Reactions
15 Replies
865 Views
Sasa ni wazi Refa Kayombo kajilaza njaa mwenyewe na kawaponza wenzake wafe njaa. Acha hawa wapumbavu wafe njaa kwa maana wamechagua wenyewe kuacha profeshno yao na kuukumbatia unazi. Kwa mara ya...
3 Reactions
13 Replies
906 Views
Tazama namna nyuki walivyovuruga Mchezo kati ya City FC Abuja kutoka Nigeria na JKU FC ya Zanzibar ulisimamishwa hapo jana Jumatano baada ya kundi la nyuki kuvamia uwanja; wachezaji na waamuzi...
3 Reactions
2 Replies
534 Views
Back
Top Bottom