Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Ikiwa ni mwanzo kabisa wa msimu mpya wa mashindani mbalimbali ya soka ulimwengu, na baadhi ya mashindano makubwa na maarufu ya mchezo wa soka yakiwa tayari yameisha anza kutimua vumbi rasmi na...
3 Reactions
28 Replies
2K Views
Bei ya kofia ya Mamelody ni randi 330 sawa na 48,000 pesa ya Tanzania na jezi ya Mamelody ni zaidi ya 150,000 tshs. Sababu ya kuuzwa bei mbaya ni kwamba Jezi za mamelody zinatengenezwa na kampuni...
9 Reactions
27 Replies
2K Views
Tunashukuru jezi ni nzuri lakini nna uhakika tarehe 16 Septemba 2025 Yanga watatufunga tena, jana aliyoyaoengea Ali Kamwe mnaweza kuchukulia kirahisi rahisi na kumdharau vile, yule alikuwa anatoa...
3 Reactions
15 Replies
1K Views
Mchekeshaji kupitia maudhui ya MITANDAONI akitumia mpira na staili za cristiano Ronaldo yuko Morocco kwenye maandalizi ya afcon, juzi tu hapa tulikua na chan ila kimyaa KWAKE, chuki na roho mbaya...
3 Reactions
11 Replies
829 Views
Sijui niseme tatizo ni uongozi unaosimamia huyu kijana, Au niseme ni tamaa ya fedha, Au sijui dogo kapenda kwenda kwenye timu kubwa, Sijui timu yenyewe ya JKT ndio hawajielewi. Kiufupi huyu...
10 Reactions
46 Replies
3K Views
Naona wazi Simba, Yanga na Azam wamechagua kuipuuza hii michuano tajwa, tena hii ni mara ya pili mfululizo... Kama hoja ni zawadi zinazotolewa kuwa ni ndogo, mbona wakialikwa kushiriki Mapinduzi...
9 Reactions
20 Replies
1K Views
🔴 CHAN 2024: Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji kwa mara ya kwanza. Mashindano ya Kombe la Mataifa Bingwa Afrika kwa Wachezaji wa Ligi za Ndani (CHAN) kwa mwaka 2024 yanatarajiwa kuanza rasmi...
16 Reactions
4K Replies
99K Views
Sijajua kama huu utaratibu uliowekwa wa mzabuni wa jezi za Simba JayRutty kuweka QR Code katika jezi kama ni njia sahihi ya kudhibiti jezi feki. Ninavyofahamu mimi ukishajua hiyo QR Code...
8 Reactions
108 Replies
4K Views
Siku ya kilele cha wiki ya Mwananchi, YANGA mechi itakuwa dhidi ya timu gani?
1 Reactions
11 Replies
746 Views
Kumsifu sana mchezaji hakuongezi wala kupunguza uwezo wake bali kuhamasisha wachezaji wenzake wamkamie. Ilikuwa hivyo kwa Makudubela sasa umeanza kwa Doumbia. Usiwaletee shida wachezaji, tutafute...
4 Reactions
6 Replies
631 Views
Kwani wakisema tu Jezi zao hazina BARCODE kwakuwa Mgombea Ubunge Aliyetoswa kazitengenezea Mkuranga na Tandale watapungukiwa nini?
2 Reactions
7 Replies
812 Views
Haya na Wewe mwana Yanga SC uliyeko hapa JamiiForums je, nawe pia ukiivaa hiyo Jezi yenu HAUPENDEZI MBELE NA BADALA YAKE NAWE PIA UNAPENDEZA NYUMA Kwako?
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Hiyo ndio slogan yetu wanayanga
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Mara baada ya Yanga kutangaza jezi zake mpya za msimu huu wa 2025/2026 wameibuka baadhi ya mashabiki wa simba na kuanza kuziponda jezi za yanga na kusema ni mbaya. Ubaya ni kwamba bila kufahamu...
7 Reactions
43 Replies
2K Views
Haya sasa jambo limewafikia mashabiki wa Yanga kuhusu jezi mpya za Simba Katika hali isiyokua ya kawaida Mashabiki wa wanga wameibuka na kilio kikali Baada ya zile jezi kuvuja ...na imeonekana ni...
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Taarifa zinaonyesha kwamba ni timu iliyoanzishwa mwaka 2009 , imeingia ligi kuu kwa mara ya kwanza msimu huu , inafundishwa na raia wa nchi kawaida kisoka ya Austria aitwaye RALPH HASENHUTTI ...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
JE, SIMBA SC IMECHUKUA HATUA GANI KUKOMESHA UVUJAJI WA JEZI? Katika siku za hivi karibuni kumekuwa na mjadala mkubwa mitandaoni baada ya jezi mpya za Simba SC kuvujishwa kabla ya kutambulishwa...
0 Reactions
3 Replies
594 Views
Uwezo wa Morocco na wenzake akina Julio umeishia pale. Morocco anateua wachezaji kwa kubalance badala ya uwezo wa wachezaji. Anaacha nje wachezaji wenye uwezo na kuingiza ndani wachezaji kwa...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Baada ya wao kutoa jezi mbovu, zinizi na ubora wowote, inasemekana jezi mpya za Simba zimetoka, wanaozipost ni washabiki wa Yanga pamoja na mwandishi kanjanja İbrahim Ambokile. Kama kweli zile ni...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
Back
Top Bottom