Ni wakubwa kiumri, wachanga kiuongozi. TFF ilianzisha mwaka 1945 na kujiunga Uanachama wa FIFA mwaka 1964. Chama cha Soka Afrika Kusini (SAFA) kilianzishwa mwaka 1991.
Mipango mingi inayopangwa...
“Unajua wakati nikiwa Yanga, mtu pekee aliyekuwa ananipa wakati mgumu ni Hans Poppe. Huyu jamaa alikuwa anafanya kazi yake kuonesha kabisa kuwa Dabi inatakiwa kuwa na mvuto, alikuwa akizungumza na...
Leo nimeona thxkyu ya kijana mkoja alietutesa sana tanga
Mungu fundi..tukampta bw mmoja toka jkt
Bw huyu kuja bw ali saalum amepewa thxkyu
Namkumbusha kipa wangu bora kabisa wa ssc uwe makini...
#MsasaSports
Refa Akikosea, Shughuli Yake Imeisha: Wallace Karia
Rais wa TFF Wallace Karia akizungumza wakati wa kufunga Semina ya waamuzi wa ligi kuu ya NBC makao makuu ya TFF, Karume, Ilala...
''Yanga wameamua kuwapa Singida Black stars silaha Khalid Aucho na Clatous Chama ambazo hata wao wenyewe zinaweza kuwadhuru siku ambayo watakutana kama hakutakuwa na maelekezo mengi ,Singida wana...
Kutokana na makosa ya kujirudia ambayo viongozi wa Simba na Mashabiki wamekuwa wakifanya.
CAF itawapa Simba adhabu hiyo baada ya maonyo na faini ambazo wamekuwa walipewa
Adhabu nyingine, Simba...
Timu ya taifa ya Tanzania Taifa Stars inatarajiwa kushuka dimbani hii leo kuivaa Congo Brazzaville katika mchezo muhimu wa kufuzu Kombe la Dunia 2026. Mchezo huu ni sehemu ya harakati za Stars...
MAPUNGUFU KWENYE JEZI YA SIMBA
[emoji3578]Na docky,,,,,, mtafiti,,,,,,,
1. Nembo (logo) haijashonwa, imebandikwa kwa gundi.
2. Mzamini wa bega pia umebandikwa kwa gundi.
3. Wadhamini ni wengi...
1.Yanga ilipigania uhuru wa nchi ....hivyo Yanga ni mali ya watanzania, Mimi binafsi nimefurahishwa na hili Ukichunguza asilia ya @yangasc Utasikia haya kua Yanga ndo wapigania uhuru..
2. Karume...
Simba Bingwa wa CAF Confedaration 2025, namba za kinajimu zinamfavour simba kuliko Berkane mbaya zaidi wanacheza ardhi ambayo ina historia kubwa ya vita za gizani katika nchi hii.
Wachambuzi...
Habari za wakati huu mashabiki na wapenzi wa soka,
Leo tumshauri ndugu yetu ambaye ni msemaji wa wananchi kwa sasa yaani DAR ES SALAM YOUNG AFRICAN.
Msemaji wa YANGA kwa siku za hivi karibuni...
FT: Simba SC 1-1 RS Berkane (Agg: 1-3) |
Ni kufa au kupona.
Ni fainali ya mkondo wa pili katika kombe la shirikisho barani Afrika.
Simba SC Vs RS Berkane, mchezo wa kwanza Simba alifungwa 2-0...
Jana mnamo saa Nane Usiku niliota ndoto ya Matokeo ya fainali kombe la shirikisho Afrika mkondo wa pili kati ya SIMBA SC ya TANZANIA dhidi ya RS BERKANE kutoka Morocco.
Mechi ilianza Kwa Kasi...
Pamoja na mauzauza yooote yaliyotokea katika fainali hii ya CAFCC, kuna jambo moja ambalo kidogo limenifurahisha.
Kitendo cha Joshua Mutale kushinda tuzo ya mchezaji bora wa fainali ni mwisho...
Bodi ya Simba yasema walioenda Ikulu kutatua mgogoro wa derby sio viongozi wa Simba
Kuna mgogoro mkubwa ndani ya management ya Simba, wengi wamekasirishwa na uwakilishi wa Hasan Dalali na Hasan...
Kiukweli viongozi wa Simba wanatuona mashabiki wao ni wajinga na hawatujali kabisa.
Achana na matukio ya kutupiga viingilio takribani mechi tatu. Ila hili la mechi ya dabi ndio limedhihirisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.