"Mara zote huwa nawaachia wachezaji wangu wamchague nahodha wao, sikupenda kilichofanyika msimu uliopita, msimu huu nitachagua nahodha mimi mwenyewe," kauli ya kocha wa Manchester City, Pep...
My Take
Chadomo na Haters wa SSH watanuna 😁 😁 😁
SSH hamumuwezi kadiri mnavyoleta chuki,majungu na fitina ndio mnamsafishia nyota na kuing'arisha 🇹🇿🇹🇿🇹🇿...
Uongozi wa timu ya Tabora United umekanusha uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii ukidai timu hiyo iko mbioni kupigwa mnada hali iliyozua taharuki kwa wadau wa soka wa Mkoa wa Tabora wakidai...
🚨Wachezaji ambao hawana timu:
🇲🇦 Hakim Ziyech
🇩🇰 Christian Eriksen
🇯🇵 Takehiro Tomiyasu
🇨🇲 Karl Toko Ekambi
🏴Dele Alli
Alex Oxlade-Chamberlain
Patrick Bamford
🇫🇷 Wissam Ben Yedder
🇫🇷 Samuel...
Kwa muda mrefu, vilabu vya Simba na Yanga vimefungamana na Mo Foundation na GSM Foundation katika shughuli za kutoa misaada kwa jamii.
Sina uhakika kama kuna mtu amekaa akawaza ni kwa nini hivi...
Mo Dewji amemrithisha kiti cha uenyekiti cha ukurugenzi Simba ndugu Cresencius Magori
Magori Toka namfahamu ni mtu hana hekima ya uongozi Bali kukurupuka
1. Magori ndo alimlaumu goalkeeper...
Uongozi wa Simba umempa kocha mechi 1 ya angalizo ambayo ametakiwa kushinda ili kuendelea kubaki klabuni hapo.
Endapo Simba itafanya hivyo, basi zigo la lawama atakuwa akisukumiwa Fadlu kipindi...
Controversial statements from French journalist Pierre Menes.
"My 11-year-old son stopped playing football after just three training sessions because all his teammates were of North African and...
Muongo mmoja uliopita mwanaume mmoja aliamka asubuhi, ili kuhudhuria mazoezi ya klabu baada ya kukamilisha safari muhimu katika maisha yake, kutoka nchini Brazil hadi nchini Urusi. Isivyo bahati...
Kocha Morocco binafsi nakukubali sana, mimi ni katika wale wachache walioamini utaipeleka timu Morocco na nikaposti uzi humu Jf, nimeona wachezaji wanakuelewa sana, tatizo lako kubwa kocha la...
Bus la wachezaji wa Dodoma Jiji FC limepata ajali likiwa njiani kutoka Mkoani Lindi kuelekea Jijini Dodoma, ajali imetokea katika eneo la kati ya Nangurukuru na Somanga wakati linatokea Ruangwa...
Kocha badala aelewe goli alilopata limetokana na foul ya Mchongo so awahimize wachezaji na awaite awakumbushe makosa wanayofanya au afanye Substitution ya Ateba na Mpanzu maana second half walikua...
Dereva ndiye mtu wa kwanza kufahamu kama gari imefeli breki, mtu wa pili ni kondakta na watatu ni abiria ambao mara nyingi ndio wanakuwa wahanga wa gari kufeli breki.
Baada ya dereva (Fadlu)...
Yanga wana siku ya mwananchi tarehe 12, halafu baada ya siku 3 tu wanaikabili Simba kwenye ngao ya hisani.
Je wameona mechi hiyo kwao ni mteremko?
Je code zote za Simba bado wanazo ndio hawana...
Yani Mimi siyo mashabiki WA hizi timu mbili ila naziombea zote zishinde. Ndo hap leo nachanganyikiwa.
Naipenda Arsenal kwa sababu ya da Nifah. Arsenal ikifanyaga vizuri anafurahi na wote humu...
SI mnajua kuwa yeye ndiye bosi wa vikundi vyote vya wanaosakata gozi Afrika? Ametumia kofia yake hiyo kumhujumu bosi wa nyika ili asitumie uwanja wa maangamizi wa lupaso.
Kafanya hivi kwa kisasi...
Pamoja na kuwa mtu hazuiliwi kuongea chochote kuna watu washaanza mdomo et tanzania itafuzu kumbe la dunia kwa kushika nafasi ya pili. Ukweli nikwamba timu itakayoongoza kila kundi ndiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.