Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Salam wakuu. Mimi ni mpenzi wa draft,Sasa nimeingia humu jukwaani nikakuta wengi wanalisifia hili draft la dalmax liko plastore. Nikasema ngoja nikalipakue nione Lina nini cha ziada, nimelipakuwa...
5 Reactions
31 Replies
2K Views
Wakuu, Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imekanusha madai yaliyoenea mitandaoni kuwa timu ya Pamba Jiji FC ilifanya mazoezi gizani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam...
0 Reactions
11 Replies
767 Views
Klabu ya Pamba Jiji yenye makazi yake Jijini Mwanza wanadai kuzimiwa taa wakati wa mazoezi yao ya Mwisho kuelekea mchezo wao dhidi ya Yanga Sc hapo kesho. "Hii ndiyo hali tuliyokutana nayo uwanja...
2 Reactions
14 Replies
736 Views
RC Chacha kama jinamizi la kufungwa na Yanga bado linaendelea. Maana alidai kuna wachezaji walipewa pesa na baadhi ya viongozi wa Yanga ili waachie mechi ================== Mashabiki wa soka...
0 Reactions
3 Replies
346 Views
Kupitia ukurasa wake rasmi wa Instagram aliyekuwa kocha wa Simba Sc Fadlu Davis amewaaga wanasimba Kwa kuandika... "Ni kwa moyo mzito naiaga Simba SC. Tangu nilipowasili, nilihisi shauku ya klabu...
2 Reactions
14 Replies
826 Views
"Kuingia uwanjani saa nne asubuhi wakati mechi inachezwa saa kumi na moja jioni ni mateso. Sio kwamba mashabiki wanataka, hapana, wanajihami. Wanahepuka kadhia ya baadae. Kule kwa wenzetu kila...
9 Reactions
32 Replies
2K Views
Kinachoendelea hapa KMC Complex kwenye mahojiano baada ya Mechi ya KMC dhidi ya Singida BS Kati ya Mtangazaji na makocha Gamond na Maximo ni aibu.
1 Reactions
8 Replies
477 Views
Kichwa cha habari kimebeba maneno ya Msemaji Ahmed Ally akiongelea usajili wa kiungo mpya mkabaji wa Simba Kante. Sitaki kuhafifisha maneno yake maana namuheshimu Sana, lakini kwa hili Kagoma...
1 Reactions
3 Replies
450 Views
Moroko huyu anayebebwa na wenzake. Aliyeishindwa Namungo. Viongozi wanatukomesha tuchukue hatua
4 Reactions
21 Replies
978 Views
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limewatangazia wadau wa mpira wa miguu na umma kwa ujumla kuwa Hafla ya Tuzo za TFF 2025 itafanyika mwanzoni mwa mwezi Desemba. Soma > Mwenye taarifa...
0 Reactions
4 Replies
643 Views
Kuna kiongozi mmoja wa Simba alimtisha kocha Fadlu Davids kuwa watamfukuza kazi kama Simba itakosa ushindi kwenye Mchezo wowote ule Ujao na kama timu haitocheza vizuri ndani ya mechi mbili zijazo...
6 Reactions
27 Replies
2K Views
Kwa makocha wote waliopita Simba ni yeye pakee ndio hupata matokeo mazuri. Ata akiwa na wachezaji wadogo kabisa. Lakini likija swala la upigaji kwenye mikataba, Juma Mgunda malipo yake yatakuwa...
0 Reactions
7 Replies
667 Views
🇹🇿 LIGI KUU TANZANIA BARA . 16:00 KMC FC - Singida Black Stars BETWAY PREMIERSHIP 20:30 Siwelele - Orlando Pirates 🇪🇸 LA LIGA 20:00 Athletic Bilbao - Girona 20:00 Espanyol - Valencia 22:30...
1 Reactions
1 Replies
409 Views
Klabu ya Simba imemtangaza rasmi Hemed Suleiman, anayejulikana zaidi kama Morocco, kuwa Kocha wa muda (Caretaker) kwa mechi za Kimataifa. Uamuzi huu umefikiwa baada ya Kocha Mkuu, Fadlu Davids...
2 Reactions
9 Replies
675 Views
Nimesikitishwa sana na kitendo cha mwanariadha Mtanzania Gabriel Geay kutomaliza mbio za Boston Marathon na kuachia katikati mara baada ya kuvuka 21km. Huu ni ukosefu wa uzalendo na kukata tamaa...
4 Reactions
17 Replies
2K Views
Simba imepokea kipigo cha 6 mfululizo na coach Fadlu akifingwa mara 4 mfulilizo peke yake bila kupata goli lolote Kwa Yanga, Coach Fadlu amefungwa na makocha 4 tofauti wa Yanga Gamondi kamfunga...
7 Reactions
39 Replies
2K Views
viongozi waliopewa dhamana hawajali timu, wanachojali ni matumbo yao. Kwa muda mrefu viongozi walikuwa wakinufaika na 10 percent za usajili wa wachezaji, huo mlango umefungwa, kinachoendelea...
0 Reactions
12 Replies
569 Views
Uongozi wa klabu ya Simba umefikia makubaliano ya kusitisha mkataba na kocha Mkuu Fadlu Davids baada ya kuhudumnu na timu kwa kipindi cha mwaka mmoja. Makubaliano haya ni matakwa binafsi ya kocha...
2 Reactions
9 Replies
778 Views
Kulingana na mapendekezo ya Mkurugenzi wa Michezo na tathmini ya jumla iliyofanywa na kamati ya michezo kuhusu hatua ya maandalizi ya msimu huu wa sasa, pamoja na mechi za kwanza rasmi, Klabu ya...
1 Reactions
17 Replies
825 Views
Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kwa kushirikiana na Bodi ya Ligi (TPLB) na Kampuni ya JUSTFIT, leo Septemba 22, 2025 wamezindua rasmi mpira maalumu utakaotumika katika michezo yote ya Ligi Kuu...
2 Reactions
3 Replies
361 Views
Back
Top Bottom