Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Coach Romain Folz ameshindwa kupata first 11 yake nadhani kichwa kinamuuma na anakosa usingizi Kwa utaalam wangu kwakuwa Nina foundation course ya coaching nitamsaidia Goal keeper 1 Diara...
7 Reactions
17 Replies
843 Views
Klabu ya Ligi Kuu ya TABORA UNITED imeuzwa rasmi kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) na itajulikana kama TRA UNITED SPORTS CLUB. Timu itakuwa bado chini ya Manager wa TRA Mkoa wa Tabora mpaka...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Luanda, Angola Septemba 28, 2025 Tanzania imesonga mbele kwa jumla ya mabao 7-0 dhidi ya Angola. Baada ya kushinda 4-0 katika mechi ya kwanza, Tanzania ilipata ushindi wa 3-0 katika mechi...
2 Reactions
2 Replies
317 Views
Wakuu, mnazikumbuka zile ahadi 10 alizotoa mzabuni wa jezi za Simba SC, Jay Rutty? Ni ipi tayari imekamilishwa na zipi bado hazijatekelezwa? si kwa ubaya tunakumbushana usije ukaisha msimu hakuna...
1 Reactions
10 Replies
469 Views
Alphonce Felix Simbu ni mwanariadha wa kimataifa kutoka Tanzania, amechukua medali ya fedha kwa kushika nafasi ya pili kwa muda wa saa mbili, dakika tano na sekunde nne ( 2:05:04) kwenye...
8 Reactions
18 Replies
2K Views
Benjamin Whitaker nainjoi Sana pambano zake.
0 Reactions
1 Replies
145 Views
Wakuu. I salute you kinsmen. Huyu kijana ni uwezo wake mkubwa ndio ngumu kuuelezea Alianza kuwa lulu tangu alipokuwa Tabora na sasa ni TRA inaitwa. Leo yupo team kubwa yanga na dakika chache...
1 Reactions
4 Replies
262 Views
Haya wakulugwa uwanja wa Mkapa umeipiga serikali pesa zote hizo ila bado aonekani kama umefanyiwa ukarabati wa bei hiyo. Hatujapigwa kweli na wajanja wa mjini waliko kwenye mifumo...
1 Reactions
12 Replies
939 Views
Oluwasegun, bingwa wa zamani wa kitaifa na Afrika Magharibi katika daraja lake la uzani, alipoteza fahamu katika raundi ya tatu ya pambano lake la Ligi ya Ndondi ya Kulipwa ya Ghana dhidi ya...
1 Reactions
5 Replies
586 Views
Mnyama Leo atashuka dimbani kumenyana na fountain Gate. Majira ya saa 1 usiku #All the best Simba SC 🦁 Ubaya ubwela season 2
4 Reactions
54 Replies
2K Views
Hatimaye plan ya Nabi kumleta Kaze ndani ya Kaizer Chiefs imetimia. Unaweza kusema colabo yao ndani ya Yanga katika misimu miwili yenye mafanikio imeifanya Kaizer nao kuwapa nafasi ya kufanya kazi...
6 Reactions
13 Replies
1K Views
Rais wa chama cha soka hapa Tanzania (TFF), Wallace Karia siku za karibuni amesikika akitoa matamshi yenye utata kwa kusema kwa kipindi kirefu akiwa Rais wa TFF, yeye na TFF kwa ujumla wake kwa...
3 Reactions
13 Replies
969 Views
NEXT MATCH : Simba Vs Gaborone United CAF champion League Starting Xl ya Simba SC Mchezo muhimu All the best Simba SC 🦁 #nguvu moja.
8 Reactions
151 Replies
6K Views
Niliweka mkeka mkubwa sana kuwa Simba itshinda kwa magoli zaidi ya matano hasa kwa vile nilijuwa usajiri wa fountain gate una walakini Dah nimepoteza kila kitu naomba michango yenu kunisaidia...
9 Reactions
38 Replies
2K Views
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari Utamaduni Sanaa na Michezo na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anahitaji klabu...
1 Reactions
8 Replies
555 Views
Singida Black Stars wamepiga hatua kubwa kwenye Kombe la Shirikisho Afrika baada ya kushinda mechi yao ya pili mfululizo kwa kuilaza Rayon Sports ya Rwanda 2-1 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar...
1 Reactions
3 Replies
338 Views
Wakuu jambo lipo live nina imani Ibenge anaenda kuipa heshima kubwa Azam Fc kimataifa msimu huu nawaona robo fainali kwa mara ya kwanza.
2 Reactions
2 Replies
320 Views
Alphonce Simbu amefungua ukurasa mpya wa celebrities katika Taifa letu. Kwa muda mrefu nilihuzunika kuona jamii ikishereheshwa na wanamuziki, wasanii wa filamu na komedi kiasi kwamba watoto wetu...
4 Reactions
8 Replies
414 Views
Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya CAFCL, Young Africans (Yanga) jioni ya leo wanaingia uwanjani kukipiga na Timu ya Wiliete kutoka Angola katika mechi ya marudiano. Katika mechi ya...
5 Reactions
43 Replies
2K Views
Back
Top Bottom