Jamii Sports

Football, Cricket, Golf, Rugby, WWE, Boxing, Tennis and much more...

On JF:

Malimi Busungu akisaini miaka miwili kukipiga Jangwani. ==================== ==================== Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM YANGA SC imeipa pigo lingine Simba SC, baada ya kufanikiwa...
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Aman iwe nanyi watumishi wa MUNGU katika KRISTO YESU Tunakutakia mafanikio mema kaka inonga LONDON BOY
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Baada ya kufuzu kwenye Futsal WAFCON 2025 (Futsal ya Wanawake kwa Africa), basi bwana tukaenda Futsal Worldcup. Haya mashindano yalifanyika Spain, November 21 hadi December 7. Timu ya Wanawake...
5 Reactions
9 Replies
351 Views
Nguli Maarufu wa Mieleka kutoka Nchini Marekani John Cena hatimaye ametangaza kuwa sasa amestaafu rasmi kucheza Mchezo huo baada ya Kudumu Kwa Miaka 25, akibeba Mataji kibao ya Mikanda katika...
3 Reactions
22 Replies
674 Views
WELCOME TO BORUSSIA DORTMUND OFFICIAL THREAD Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB, Full name Ballspielverein...
3 Reactions
468 Replies
14K Views
Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja. Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?. nafikiri ajiondoe...
1 Reactions
38 Replies
1K Views
Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa. Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni...
2 Reactions
81 Replies
3K Views
Guys kwa wale wazee wa kubeti Online kuna baadhi ya kampuni ni wezi. Iko hivi, umeweka mkeka umekula hela nyingi say 50M -->, au hata 20M tu. Wanabadilisha matokeo ya mkeka wako, wanaweza kuweka...
5 Reactions
25 Replies
2K Views
Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14. Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu. Sasa nikiwaza...
2 Reactions
19 Replies
916 Views
Zimsalia siku 11 kufanyika kwa mashindamno ya AFCON nchini Morocco.
1 Reactions
0 Replies
188 Views
RS Berkane Renaissance Sportive de Berkane (Arabic: النهضة الرياضية البركانية) commonly known as Nahdat Berkane or RS Berkane for short, is a Moroccan sports club based in Berkane, Morocco. The...
5 Reactions
78 Replies
4K Views
Kutoka kwenye ukurasa wao wa Social Media, wakatuwekea na Picha ya 2019 walivyokipiga na Simba SC.
3 Reactions
2 Replies
261 Views
Hapa nawasema wana Simba SC wote kuwa tuendelee tu kudhani kuwa kile Kipigo cha Juzi kutoka kwa Azam FC labda walibahatisha tu Kwetu hivyo hata tukicheza nao leo Mechi ya Kushtukiza hawawezi...
3 Reactions
21 Replies
493 Views
Hakuna Mtu ambaye GENTAMYCINE simkubali ndani ya Simba SC kama Msemaji Ahmed Ali kwakuwa namjua ni mwana Yanga SC 100% na kila nikiwasanua Wapuuzi hapa hawanielewi. Kocha Matola ni Mkakati Maalum...
4 Reactions
16 Replies
647 Views
Kinda wa klabu ya mpira ya Barcelona na Timu ya taifa Uhispania Lamine Yamal usiku wa leo anaenda kufanya maajabu dhidi ya Chelsea kwenye klabu bingwa ulaya. Mechi hiyo inayosubiriwa kwa hamu na...
2 Reactions
32 Replies
2K Views
Friends of Simba wamerudi kazini TAJIRI na kipenzi cha mashabiki wa Simba, Mohammed Dewji ameteua wajumbe 21 wa Baraza la Ushauri ambao kati yao 13 ni kutoka kwenye kundi lenye nguvu la Friends...
4 Reactions
19 Replies
2K Views
Halafu mwambieni pamoja na kuhudhuria kuangalia Mechi za Simba SC na Mazoezi hatumtaki kabisa tena hakuna Mchezaji aliyetuumiza wana Simba SC kama Yeye kwakuwa tulimpenda kutokana na Kipaji chake...
1 Reactions
13 Replies
547 Views
Na wengine nadhani Kiasili mnatujua ni Watu wa Mkoa wa Mara (Musoma) na tulishacheza Boxing Majeshini Kitambo.
0 Reactions
4 Replies
405 Views
Back
Top Bottom