Mshambuliaji wa Simba Sports Club, Jonathan Sowah amefungiwa michezo 5 pamoja na faini ya milioni moja (1,000,000/=)
Alassane Kante pia amefungiwa michezo 5 na faini ya milioni moja (1,000,000/=)...
1. Tajiri Mo ni Tapeli
2. Poti wangu kutoka Mkoa wa Mara (Musoma) nae keshalambishwa Asali hivyo hana Kauli tena
3. Wachezaji wa Simba SC ni wa Kiwango kile ambacho nilikuwa nakitaka
4. Hakuna ule...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani [FIFA], Limemchagua Rais wa Klabu ya Yanga SC na Mwenyekiti wa Umoja wa vilabu Afrika [ACA], Eng. Hersi Said kuwa miongoni mwa Wataalam watakaofundisha kwenye...
Inawezekana kabisa betting ikakupa pesa, I repeat inawezekana! Lakini by doing it proffessionally.
Zipo strategy za kutengeneza pesa kupitia betting, wamiliki wa makampuni ya kubet wanapata faida...
Malimi Busungu akisaini miaka miwili kukipiga Jangwani.
====================
====================
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM
YANGA SC imeipa pigo lingine Simba SC, baada ya kufanikiwa...
Baada ya kufuzu kwenye Futsal WAFCON 2025 (Futsal ya Wanawake kwa Africa), basi bwana tukaenda Futsal Worldcup.
Haya mashindano yalifanyika Spain, November 21 hadi December 7.
Timu ya Wanawake...
Nguli Maarufu wa Mieleka kutoka Nchini Marekani John Cena hatimaye ametangaza kuwa sasa amestaafu rasmi kucheza Mchezo huo baada ya Kudumu Kwa Miaka 25, akibeba Mataji kibao ya Mikanda katika...
WELCOME TO BORUSSIA DORTMUND OFFICIAL THREAD
Ballspielverein Borussia 09 e. V. Dortmund, commonly known as Borussia Dortmund [boˈʁʊsi̯aː ˈdɔɐ̯tmʊnt],[2] BVB,
Full name
Ballspielverein...
Habari za jioni wanasimba, naomba niingie moja kwa moja kwenye hoja.
Huyu bi dada zubeda shakuru tangu ameingia simba kuna lolote positive ameleta?? mbona timu inazidi kuzama?.
nafikiri ajiondoe...
Mshambuliaji wa zamani wa TP Mazembe, As Vita Club na Yanga SC Chico Ushindi Wakubanza, amefariki leo mchana akiwa kwao Congo ya Kinshasa.
Akiwa mshambuliaji aliyetoa kila alichokuwa nacho...
Leo, katika mwendelezo wa Ligi Kuu ya NBC, Simba SC itakuwa na kibarua kizito mbele ya Azam FC. Mchezo utachezwa katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam, majira ya saa 5:00 jioni. Je, ni...
Guys kwa wale wazee wa kubeti Online kuna baadhi ya kampuni ni wezi.
Iko hivi, umeweka mkeka umekula hela nyingi say 50M -->, au hata 20M tu.
Wanabadilisha matokeo ya mkeka wako, wanaweza kuweka...
Gor Mahia FC kwenye Derby waliocheza hii week na AFC Leopards wanasema wamekusanya jumla ya Tsh Bil 14.
Mechi ilichezwa Nyayo Stadium, upo Nairobi una capacity ya watu 18,000 tu.
Sasa nikiwaza...
RS Berkane
Renaissance Sportive de Berkane (Arabic: النهضة الرياضية البركانية) commonly known as Nahdat Berkane or RS Berkane for short, is a Moroccan sports club based in Berkane, Morocco. The...
Hapa nawasema wana Simba SC wote kuwa tuendelee tu kudhani kuwa kile Kipigo cha Juzi kutoka kwa Azam FC labda walibahatisha tu Kwetu hivyo hata tukicheza nao leo Mechi ya Kushtukiza hawawezi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.