Jamii Photos

A collection of Community Photos brought to you by our members. Enjoy your stay!

On JF:

Habari za jioni wakuu.. Kama kichwa kinavyojieleza ningependa kufahamu mambo ama factors zilizopelekea Mwanza kudevelop and become a city.. Kwa DSM tunafahamu nn kilipelekea iendelee...ni jiji kuu...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
R.I.P masogange Siku zote nilikua nikitafuta picha sahihi za kukutakia mapumziko mema Mama. Hakuna wakuziba pengo lako Mama[emoji26][emoji26]
1 Reactions
24 Replies
7K Views
Kumbe kwenye treni kutamu hivi ??🤣
4 Reactions
41 Replies
6K Views
Leo tena yule msanii maarufu wa katuni kutuletea picha tata. Naomba kwa wale wenye ujuzi wa kusoma habari picha watujuze sisi tusiyo na ujuzi huo. Sent using Jamii Forums mobile app
14 Reactions
119 Replies
11K Views
Muonekano mpyaa wa chuo cha IHEMI kilichopo mkoani Iringa baada ya maboresho. Chuo hichi ni cha CCM maalum kwa ajili ya kuwajenga na kuwaandaa vijana wake kiuongozi. CCM HOYEEEEEEEE Sent using...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimecheka sana Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Estate Agent alipofika kuiangalia aliamua kupiga picha hizi. Kwa miaka 72 ameweza kuitunza nyumba katika hali hii. Mume wake ameshafariki na watoto wote wana maisha yao.
8 Reactions
44 Replies
6K Views
Jamaa alikuwa mbunifu sana enzi zake tulikumbushana ya zamani sisi wahenga ingekuwa Leo ningemtumia story Freeman Mbowe kwa picha hii State agent Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kipindi nasoma tulikua tukiambiwa “You’re the leaders of tomorrow”. Ila cha ajabu mpaka sasa “tomorrow” wale jamaa bado tu wamenga’ngania madaraka! Sent using Jamii Forums mobile app
14 Reactions
51 Replies
5K Views
Jionee mwenyewe hilo tamko. Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Furaha ndani ya simanzi kuu..... Ni furaha ya kulazimisha.. Je nia na nafsi zetu hazitusuti? Hatuoni haya? Kwa haya tuyafanyayo?
9 Reactions
20 Replies
4K Views
2 Reactions
8 Replies
6K Views
Back
Top Bottom