Matokeo katika picha

Matokeo katika picha

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,400
Reaction score
872,008
Furaha ndani ya simanzi kuu..... Ni furaha ya kulazimisha..
IMG-20191125-WA0122.jpeg
IMG-20191125-WA0106~2.jpeg
IMG-20191125-WA0109.jpeg

Je nia na nafsi zetu hazitusuti? Hatuoni haya? Kwa haya tuyafanyayo?
 
Hapo hakuna wana CCM maana hata hao wana CCM na mwenyekiti wao wa taifa walisusia uchaguzi wengine wakaenda kupokea gawio wengine wakawa live wanafuatilia utoaji na upokeaji wa gawio, hao ni wanafamilia wamefurahi mkuu wa kaya kuwa MH. MWENYEKITI.
 
Kazia hapo kwenye masterbation 😎
 
mbona shwarii tuu ata wasingefanya uchaguzi.
ukizoea kula nyama ya punda kuacha ni kazi hahahaha
refer mkapa watu 21 unguja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom