Niccolo Machiavelli
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,881
- 3,636
Kipindi nasoma tulikua tukiambiwa “You’re the leaders of tomorrow”. Ila cha ajabu mpaka sasa “tomorrow” wale jamaa bado tu wamenga’ngania madaraka!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nini ulinganishe na Afrika tu na siyo USA, Urusi, China, Uarabuni, Australia, kwa nini usiwaulize hao wengine wanakwama wapi?
Dont be so hard on yourself!
Kwa hivyo ww unataka kuiga kila kitu kutoka kwa wazungu!!?
Kwa nini ulinganishe na Afrika tu na siyo USA, Urusi, China, Uarabuni, Australia, kwa nini usiwaulize hao wengine wanakwama wapi?
Dont be so hard on yourself!
Punguzeni kuiga na kufanya comparison ambazo hazina mantiki....
Punguzeni kuiga na kufanya comparison ambazo hazina mantiki....
mazingira ya Ulaya na Africa ni tofauti sana
tek that to your wallet......
Kwa hivyo mtu akiku-challenge unasema stress....!!!?
Hajielewi huyo fuka...Sisi na wao ni mbingu na ardhi Mzee.