Kipanya nini tena wewe na mtoto wa mkulima?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Leo tena yule msanii maarufu wa katuni kutuletea picha tata.

Naomba kwa wale wenye ujuzi wa kusoma habari picha watujuze sisi tusiyo na ujuzi huo.
Screenshot_20191215-154927.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pinda anakula kuku kwa mrija (Maisha yake mazuri) yani hapitii yale tunayopitia wananchi wengi (ukali wa maisha) ndio maana iko rahisi kwake kusema Meko aongezewe miaka 5 mingine... Huku kwa pembeni Meko (Serikali) inazidi kumhudumia na kumuwezesha kimaisha (fukuza inzi)
 
Hii nayo ni taaluma haswaaa! Uchambuzi umeshiba

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom