Eleza kutamu kivipi..Kumbe kwenye treni kutamu hivi ??
Boss, umewaza nini?Hapa kwenye bia TRC wanaweza ingiza pesa zaidi kuliko hata nauli
Elezea hizo furaha kwa kila hatua ya safari, ukisubiri ufike utamu wa stori utadoda maana ushatugusia, bora tu utuelezeSubiria nifike kwanza ..
SeneneHahaaaa, huu ndo ubunifu sasa.
Treni ya Kilimanjaro - Beer,
Treni ya Kigoma - Migebuka,
Treni ya Mwanza - Samaki
Treni ya Bukoba - ......!!??
Hahaaaa, huu ndo ubunifu sasa.
Treni ya Kilimanjaro - Beer,
Treni ya Kigoma - Migebuka,
Treni ya Mwanza - Samaki
Treni ya Bukoba - ......!!??
Nimefurah sanahii wamepatia kabisa
huduma kama hii itashawishi wengi