Masoud Mungu anakuona jamani

MzaramoTz

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
1,829
2,986
IMG-20191213-WA0007.jpg
 
Bi mdenga kuku "sikilizeni hapa hakuna kunyonya fullstop"

Ki kid fyatu kuku "jameni si hata utudanganye tu"

Mimi nawaza. Kwani kuku huwa ananyonya au kunyonyesha?
Yaani leo kuku inaleta habari za kuwanyima vifaranga kunyonya ?
 
Anaingia kwenye comment zangu anafuta nilichoandika
Anaandika cha kwake then ana repost

Nimewajulisha Moderator ila hawamchukulii hatua Kabisa

Wengine Hata tukuandika neno moja tu kwa bahati mbaya tunaliwa ban Ndani ya muda mfupi

This is not fair jamii forum is for everyone,
Anahariri kivipi yaani mkuu...?
 
Anaingia kwenye comment zangu anafuta nilichoandika
Anaandika cha kwake then ana repost

Nimewajulisha Moderator ila hawamchukulii hatua Kabisa

Wengine Hata tukuandika neno moja tu kwa bahati mbaya tunaliwa ban Ndani ya muda mfupi

This is not fair jamii forum is for everyone,
Kivipi aingilie comment zako? Mi sijaelewa yaani anadukua akaunt yako au? Nakama ndio ulijuaje ni yeye? Tupe elimu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mvaa viatu kuhariri coments za watu hata wewe unaweza kwa kufanya editing
Unafuta nilichoandika mimi unaandika unachotaka wewe

Kuna siku Moderator kwa makusudi Kabisa walinipiga ban kwa comment yangu iliyohaririwa

Kuna memba alihariri comment yangu akaongeza tusi,then nikapigwa ban mimi

Sikulalamika niliacha tu kwa kuwa nilijua wamefanya makusudi

Sasa huyu bwana toka jana namripot kwao wamemwacha tu hawamkanyi
Kivipi aingilie comment zako? Mi sijaelewa yaani anadukua akaunt yako au? Nakama ndio ulijuaje ni yeye? Tupe elimu kidogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom