Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,007
- 13,799
Habari za jioni wakuu..
Kama kichwa kinavyojieleza ningependa kufahamu mambo ama factors zilizopelekea Mwanza kudevelop and become a city..
Kwa DSM tunafahamu nn kilipelekea iendelee...ni jiji kuu la kibiashara,uwepo wa bandari kuu pamoja na mengine mengi..
Arusha kuna vivutio vingi tu,madini nk..
But what about Mwanza?? Hakuna vivutio vingi,hakuna bandari,hakuna madini mengi and it's now a large city..
Kama ni population inamaanisha hiyo population imetokana na watu kuvutiwa na Mwanza hivyo maendeleo yalianza kwanza kabla ya population... Hivyo bac population si hoja yenye mashiko iliyoifanya Mwanza iendelee...
What really made Mwanza develop and became a second commercial city just behind Dar es Salaam???
Maoni yenu Tafadhali...