Naamini hata mpigaji wa hii picha hakujua kama inaweza kuwa picha bora kiasi hiki.. Lakini ya rohoni yana nguvu kuliko ya mwilini...
Picha hii ni picha bora ya muda wote katika siasa za upinzani...
Kama kichwa cha habari kinavyo sema.mimi nimeona tofauti ya kitasa cha mlango wa picha ya juu na chini kuwa tofauti.
Je wewe umetambua tofauti ipi? Zipo nyingi sana zitaje..