Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,367
- 3,778
Whose wife/ Mke wa nanj huyu
Mkuu naona ipo shida eee!, huyo ni mke Wa David Kafulila - RAS Wa mkoa Wa Songwe kwa sasa.
Sio kweli, mke wa Kafulila anaitwa Jesca KishoaMkuu naona ipo shida eee!, huyo ni mke Wa David Kafulila - RAS Wa mkoa Wa Songwe kwa sasa.
Ni Pendeza au Peneza
Pendeza itapendeza maana bidada anajipenda kweli.
Haha niko vizuri kwa sababu namfahamu mke wa Kafulila?Uko vizuri.
Haha niko vizuri kwa sababu namfahamu mke wa Kafulila?
She’s still looking. She’s very beautiful.
Hujui kuwa Upendo aliwahi kushiriki mashindano ya Maisha Plus miaka ya 2010?(kama sikosei)Duuh Acha utani mkuu
Hujui kuwa Upendo aliwahi kushiriki mashindano ya Maisha Plus miaka ya 2010?(kama sikosei)