Kikwete bana...

JK bhana! Jamaa namuona kwa mbali kwa kutumia techno lakini bado namuona ni lijidume, seuze yeye aliye nae hapo hapo! Itakuwa kulikuwa na chuma cha maana pande hizo, kwa hiyo akili ya JK yote ilikuwa kwa huyo mtoto! Sasa jamaa alipofika hapo, JK bado akili yake ilikuwa kwa hicho chuma, na macho yake ndo yapo kwa huyo mzee! Sasa kwavile speech inakuwa controlled na ubongo na sio macho, speech ya JK ikawa juu ya kile kile kilichokuwa kinazunguka kwenye ubongo wake na sio anachokiona kwa macho yake!
 
Back
Top Bottom