bila kumsahau bob Mazishi na sokomoko
hivi zena na betina ule ugomvi wao ulimalizika???
Ha ha ha !!hivi zena na betina ule ugomvi wao ulimalizika???
Kumbe Tiba na wewe ni wa enzi zetu...kumbe huyu jamaa alifariki aisee? RIP...kina Chris Katembo si walikuwa huko pia
Ehe Bwana nilikuwepo enzi hizo. Yes Chris Katembo alikuwa mchoraji mwenza na John Kaduma. John alifariki siku nyingi, zile bangi alikuwa anapuliza zisingemuweka hai muda mrefu. Lakini walikuwa wabunifu kweli kweli.
Tiba