Unawavulia kofia kwa hiyo photoshop ?
Siku ukinivulia chupi nishitueKuna wigi, wig cap...baada ya hapo kuna hereni, necklace, meno yangu ya bandia, miwani...niendelee kushuka?
Pengne mkuu nikipofu hatoshuhudia licha Ya kua pamoja we umshitue tuSasa kama nimekuvulia nikushtue nini na tutakuwa pamoja?