Tuambie tofauti ulizo zigundua kwenye hizi picha mbili (eye challenge)

Mr pianoman

JF-Expert Member
May 22, 2019
2,550
6,105
Kama kichwa cha habari kinavyo sema.mimi nimeona tofauti ya kitasa cha mlango wa picha ya juu na chini kuwa tofauti.

Je wewe umetambua tofauti ipi? Zipo nyingi sana zitaje..
FB_IMG_1591610675304.jpg
 
i..picha ya kwanza kwemye meza droo ya juu ime funguliwa wakati picha ya chini droo imesha rudishiwa/fungwa

ii..kwenye picha ya kwanza uyu alie mlangoni Mdomo wake ume tazama chini upande wa kulia wakati picha ya chini yule alie mlangoni mdomo ume oneshwa kuangalia upande wa kushoto kwa jui ume geukia
 
Sahihi kabisa mkuu
 
Midomo ya aloshika mlango iko tofauti, picha ya ukutani frame zinatofautiana, draw ya kikabati moja imefungwa moja imefunguliwa, hiyo sijui ni chupa iliyo juu ya kikabati nazo zinatofautiana
 
Midomo ya aloshika mlango iko tofauti, picha ya ukutani frame zinatofautiana, draw ya kikabati moja imefungwa moja imefunguliwa, hiyo sijui ni chupa iloyo juu ya kikabati nazo zinatofautiana
 
1. Anaefungua mlango amefurahi
Chini amenuna.
2. Juu handle ya mlango duara
Chini square.
3. Juu mkoba alobeba jambazi una dollar $
Chini una euro €.
4. Juu droo la meza liko wazi
Chini limefungwa.
5. Juu safe ina button chache
Chini ina nyingi.
6. Juu kimtungi juu ya meza kipo kimoja na kimeanguka
Chini vimtungi vipo viwili kimoja kimeanguka na kimoja kimesimama.
7. Juu bastola ya jambazi mbele haina kitu
Chini bastola ya jambazi ina kama kibahasha.
8. Juu binti hajavaa viatu
Chini binti amevaa viatu.
9.Jambazi juu ana nywele ndefu
Chini jambazi ana nywele fupi.

ᵃʳᵉᵉᵐ
 
Back
Top Bottom