Jitu la kienyeji
JF-Expert Member
- Dec 13, 2014
- 4,445
- 7,987
Alafu Yesu anakuonesha post zako zote ulizokuwa unapost kwenye mitandao ya kijamii.
Mwenyewe umekaaza, unaleta usomi kwenye vitukombingu ni nadharia hakuna anaejua uwepo au kutokuwepo kwake.
Wewe ndo unaona vituko lakini tambua ya kwamba utavuna ulichokipanda!Mwenyewe umekaaza, unaleta usomi kwenye vituko
Vyovyote utakavyoamini lakini mwisho wa siku kile unachotoa ndio utachopata ukiwa mwema utalipwa mema ukiwa muovu utalipwa kimaovu!mbingu ni nadharia hakuna anaejua uwepo au kutokuwepo kwake.
Halafu huyo Brian decon sijui kwa Nini bado wanatumia picha zake,hivi familia yake wanajisikiaje
Mkuu huyu mtu anaeliaga liaga ndi huyo Brian. Ni nani hasa na nini kilimliza maana namuona tuHalafu huyo Brian second sijui kwa Nini bado wanatumia picha zake,hivi familia yake wanajisikiaje
Halafu huyo Brian second sijui kwa Nini bado wanatumia picha zake,hivi familia yake wanajisikiaje
Huyo anae lialia anaitwa Oladee a. k. a kichwa kinacho tembea, ni m NigeriaMkuu huyu mtu anaeliaga liaga ndi huyo Brian. Ni nani hasa na nini kilimliza maana namuona tu
Alafu Yesu anakuonesha post zako zote ulizokuwa unapost kwenye mitandao ya kijamii.View attachment 1467947
Kamali ilimponza nasikiaHuyo anae lialia anaitwa Oladee a. k. a kichwa kinacho tembea, ni m Nigeria
Ndio huyo huyo wala hujakosea mkuu na ndio chanzo cha hiyo pichaKamali ilimponza nasikia
ulitakiwa ushngae pia kwanini walimtumia yeye kwenye hiyo sinema na sio wewe au filbet boda boda.Kuna kanisa niliona wametundika picha yake ukutani karibu na madhabahu nilishangaa sana!