Boeing 757
JF-Expert Member
- May 18, 2020
- 288
- 612
Mkatoliki MwenzetuLee Harvey Oswald..
Huyo ndiye aliyemuuwa Ndugu yetu Kennedy
Aliyemuua Kennedy naye walimrestisha ASAP..Anakula Bata huko jela
jamaa waliamua kumtoa sadaka tu.... wewe unaamini kwamba muuaji walikuwa hawamjui? ule ni mchongo wao wao wenyewekama vile Oswald huyu !!!,yule aliyemuua kennedy,kama ndiye pichani,CIA walifanya uchunguzi ambao hauku conclude 100% kwamba jamaa kaua
Teh teh
Pm kunani eti?😃😃 usicheke bwana
ya coronaPm kunani eti?
Sina corona eti.. sidhani Kama tiba yanihusu.Tiba
ya corona
sichezi na weweSina corona eti.. sidhani Kama tiba yanihusu.
Mwenyewe sichezi nawewe😃😃😃
sichezi na wewe
nausije kula kwetu 😂Mwenyewe sichezi nawewe
Naangalia kwa ukaribu next response baada ya yeye kujibu hachezi na wewe pia. Najifunza kitu hapa😃😃😃
sichezi na wewe
😃😃 unajifunza nini mkuu, ?Naangalia kwa ukaribu next response baada ya yeye kujibu hachezi na wewe pia. Najifunza kitu hapa
hahaa wewe jamaa hauchezi mbaliNaangalia kwa ukaribu next response baada ya yeye kujibu hachezi na wewe pia. Najifunza kitu hapa